sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.
Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..
Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.
Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..
Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.
Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.
Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..
Kilimanjaro is a Blessing Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!
Ila kwa nini ile barabara ya kwenda TPC hainengwi? Nasikia ni sababu za kisiasa maana umuhimu wa ile barabara ni mkubwa hasa baada ya kuwepo kiwanda kingine cha Serengeti beer!
Kingine Machine Tools wanakihujumu jamani!! Lile ni bonge la kiwanda ever, kinanisikitisha sana!! kiwatengu

Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.
Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..
Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.
Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..
Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.
Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.
Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..
Kilimanjaro is a Blessing Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!
Watanzania ambao wana chuki dhidi ya Watanzania wengine kwa sababu tu ya kabila lao, kule watokako au dini yao ni wa kuogopa kama ukoma.
Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.
Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..
Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.
Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..
Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.
Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.
Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..
Kilimanjaro is a Blessing Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!
ni kweli mkuu BAK
nimejaribu kusema haya baada ya kuona watu wakitumia chuki za kidini na za kisiasa kuisema Kilimanjaro.
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?

wrong notion! kama wachagga wamejenga shule nyingi kuliko Dar, au mikoa mingine tegemea kwamba muda siyo mrefu ndio watakao kuwa wengi kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hatimae ndio watakao jaa kwenye soko la ajira na pengine ndio watakao miliki biashara kubwakubwa Nchini.unacho sema wewe ni sawa na mtoto mwenye ndugu wengi waliofanikiwa kimaisha ili hali yeye ni masikini kimaisha halafu ajisikie fahari mafanikio ya ndugu zake wakati yeye anaishi maisha ya kimasikini kabisa!! sasa kama wewe siyo mchagga utajisikiaje fahari na kilimanjaro iliyo fanikiwa wakati kwenu sijui wapi huko watu hata vyoo hawana? wakati huko kwenu maji ya bomba hakuna kabisaa! huko kwenu kuna shule ya sekondari moja au mbili tu? watoto hawapelekwi shule na wanaona fahari kuolewa at 15? kimsingi something must be done katika mikoa mingine ili watu wapende kusoma kikweli na hatimae wapeleke maendeleo huko watokako
You are absolutely right!Watanzania ambao wana chuki dhidi ya Watanzania wengine kwa sababu tu ya kabila lao, kule watokako au dini yao ni wa kuogopa kama ukoma.