Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Jeshi la Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Helga Mchomvu,
Wanatuhumiwakwa kukusanyika na kufanya mkutano usio halali wilayani humo, Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amethibitisha.
Lema amesema haya kuhusu kukamatwa kwake
Polisi wamevamia nyumbani kwa Mkti wa Halmshauri Hai Helga,wamemkamata dereva wangu na gari yangu nyumbani kwa Mkti Helga,nimepewa taarifa kuwa nina tafutwa Mimi.Nimeamua kuelekea kituo cha Polisi Hai. TUTAVUKA
Niliambiwa kosa langu ni kuja Hai bila kibali cha OCD wkt nakaa Arusha!Nikamuuliza OCD kama ana akili timamu? Akaniweka sero,akaniita tena akaniambia,nisirudie kuja Hai bila kibali na niandike maelezo!nikamjibu,sijaona OCD mjinga hivi.Sasa nashitakiwa kwa kosa la kutaja sifa zake
Pia soma

Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amedai kuwa...
www.jamiiforums.com