Biharamulo: Oparesheni 255 yaendelea, rekodi ya Mahudhurio kwa Mkoa wa Kagera yavunjwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwamba wa Siasa nchini Tanzania na Muasisi wa Siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, leo ameingia Biharamulo Mkoani Kagera na kupokelewa na umati wa wananchi.

Kama kawaida, somo lililo ubaoni ni Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mkataba mbovu wa Bandari za Tanganyika. Wananchi wote Wameelewa somo hilo kinaga ubaga.

Jambo jipya lililojitokeza ni kuvunjwa kwa rekodi ya mahudhurio tangu mikutano hivyo ianze Mkoani Kagera (Ikumbukwe kwamba mikutano hii ni ya ngazi ya kata tu).

Hii hapa ni Kata ya Nyakahula.

Screenshot_2023-08-01-14-38-47-1.jpg
Screenshot_2023-08-01-14-39-04-1.jpg
Screenshot_2023-08-01-14-38-43-1.jpg
Screenshot_2023-08-01-14-38-39-1.jpg
Screenshot_2023-08-01-14-38-55-1.jpg
Screenshot_2023-08-01-14-39-25-1.jpg
 
-Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwamba wa siasa Nchini Tanzania na Muasisi wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu , leo ameingia Biharamulo Mkoani Kagera na kupokelewa na Umati wa wananchi .

Kama kawaida , somo lililo ubaoni ni KATIBA MPYA , TUME HURU YA UCHAGUZI NA MKATABA MBOVU WA BANDARI ZA TANGANYIKA , Wananchi wote Wameelewa somo hilo kinagha ubhagha .

Jambo Jipya lililojitokeza ni Kuvunjwa kwa rekodi ya Mahudhurio tangu Mikutano hivyo ianze Mkoani Kagera .

Hii hapa ni Kata ya Nyakahula


Siasa za "kisasa" ndiyo za kutukana watu na ubaguzi?
 
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwamba wa siasa Nchini Tanzania na Muasisi wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu , leo ameingia Biharamulo Mkoani Kagera na kupokelewa na Umati wa wananchi .

Kama kawaida , somo lililo ubaoni ni KATIBA MPYA , TUME HURU YA UCHAGUZI NA MKATABA MBOVU WA BANDARI ZA TANGANYIKA , Wananchi wote Wameelewa somo hilo kinagha ubhagha .

Jambo Jipya lililojitokeza ni Kuvunjwa kwa rekodi ya Mahudhurio tangu Mikutano hivyo ianze Mkoani Kagera (Ikumbukwe kwamba mikutano hii ni ya ngazi ya Kata tu)

Hii hapa ni Kata ya Nyakahula

View attachment 2705063View attachment 2705065View attachment 2705067View attachment 2705068View attachment 2705070View attachment 2705071
Inapendeza sana nimezoom ata picha zao ni vijana umri wao wanastahili kabisa kupiga kura

Kule upande wa pili bila kuhonga watu shughuli huwa ni pevu
 
CHADEMA wafanye siasa Safi,na wakumbuke huyu Maza ndio kawapa Uhuru wa kufanya siasa...pini walilopigwa na Mwendazake hawatakaa na kusahau....hakuna aliyepata nguvu ya kusimama kukosoa Hadi wengine walikimbia nchi...tukumbuke na yaliyotusiba.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwamba wa siasa Nchini Tanzania na Muasisi wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu leo ameingia Biharamulo Mkoani Kagera na kupokelewa na Umati wa wananchi.

Kama kawaida , somo lililo ubaoni ni KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI NA MKATABA MBOVU WA BANDARI ZA TANGANYIKA. Wananchi wote Wameelewa somo hilo kinagha ubhagha.

Jambo Jipya lililojitokeza ni Kuvunjwa kwa rekodi ya Mahudhurio tangu Mikutano hivyo ianze Mkoani Kagera (Ikumbukwe kwamba mikutano hii ni ya ngazi ya Kata tu)

Hii hapa ni Kata ya Nyakahula

View attachment 2705063View attachment 2705065View attachment 2705067View attachment 2705068View attachment 2705070View attachment 2705071
Hao watu hata hawafiki 200, wamekuja kuishangaa helikopta. Hata hivyo yanasaidia nini, wanampiga kura ya urais Mbowe? Tulizaga tako we fala.
 
Back
Top Bottom