KIlimanjaro International Airport

KIlimanjaro International Airport

70km-40km-51km tukubalie nani 😀
Screenshot_2019-06-29 Arusha to Kilimanjaro International Airport.png


Google ndio wanasema hivyo, inawezekana wamekosea na mimi nina experience hiyo ya google maps kukosea mara nyingi tuu tena hapa hapa US kwa hiyo sishangai.
 
70km-40km-51km tukubalie nani 😀

Hehehehe!!!
Anyway sikumbuki ila sio parefu, kawaida ilikua inanichukua kama lisaa, japo kuna siku nilisafiri kwa shuttle kutokea Arusha kwenda KIA halafu enzi hizo nilkua nalewa na ghafla nikabanwa na mkojo, niliona parefu kishenzi....maana kwa vyovyote vile shuttle haiwezi kusimama maana mnawahi ndege.
 
For those Ignorant Kenyans questioning Arusha Airport,
It is only 70km from Arusha to Kilimanjaro International Airport.


Kilimanjaro International Godown.
You should demand a full refund from whoever designed and built your new terminal.
 
Distance between Moshi and Arusha is 80km and KIA is at the midway between the two towns hence 40km exactly from each town.
No, kia to arusha town ni mbali ukilinganisha na kia to moshi.
Naitumia mara kwa mara hiyo road.
 
Kilimanjaro International Godown.
You should demand a full refund from whoever designed and built your new terminal.

This is not a new terminal KIA was built in 1977 it was only recently renovated
 
Back
Top Bottom