Ya muda hani?ok! nataka nikapige shortcourse pale ndio nilikua nataka kujua pengine nikapoteza muda
ok! sawa mm nataka shortcourse! vp kwenye hiloNenda kasome hata certificate kabisa pale kuna semester fupi sana miezi mitatu mitatu yani kama utaanza January September umemaliza. Kuna majamaa zangu pale wako vizuri sana daniel na faraja hawa ni lectures
Usaili wameshafunga?Nenda kasome hata certificate kabisa pale kuna semester fupi sana miezi mitatu mitatu yani kama utaanza January September umemaliza. Kuna majamaa zangu pale wako vizuri sana daniel na faraja hawa ni lectures
sawamm nahitaji shortcourse tu sio long course
Chuo kipo wapi na ada zipoje?Nenda kasome hata certificate kabisa pale kuna semester fupi sana miezi mitatu mitatu yani kama utaanza January September umemaliza. Kuna majamaa zangu pale wako vizuri sana daniel na faraja hawa ni lectures

Sinza Mqpambano ada ngazi ya chet andaa mil 1 cash na chanj itabakiChuo kipo wapi na ada zipoje?
vp mrejesho?mm nahitaji shortcourse tu sio long course