Kilimanjaro Express

Kilimanjaro Express

Kuna siku pale Shekilango kidogo nimzabe mabanzi dada mkata tiketi kaniandikia gari ya kuondoka saa 1 na nusu (asubuhi) umefika muda ananiambia gari yako ilikuwa saa kumi na mbili na nusu (asubuhi). Namuuliza mbona tiketi inasema saa 1 na nusu anadai alikosea, so nikate tiketi nyingine.
 
Fujo zilikuwa kubwa sana nikasahau kufanya hivyo. Ila nikiliona tena nitazileta hapa namba za gari kwa sababu nawakumbuka dereva na konda wake pia.
Tiketi uliokata haina namba ya hili gari?au ulipewa risiti sio tiekiti[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom