Nilishaacha kabisa kupanda basi hilo, yaani hovyo kweli.Umesahau dar express wana huduma mbovu kweli. Leo nmewahi ili nikakate tiketi, nmekaa kwenye foleni kuanzia saa moja inafika saa tatu kasoro wanasema nafasi zimejaa gari za tar 21 na 22. Tukawaomba watukatie za tar 23 wakagoma kabisa. Kilichonisikitita wakati tupo kwenye foleni kuna madalali waliokua wanaingia ndani wanareserve nafasi za wateja wao. Pia majibu ya wahudumu hayakua ya kuridhisha kabisa......
Ulikuwa abiri au mpita njia ndio ukayaona hayo?Fujo zilikuwa kubwa sana nikasahau kufanya hivyo. Ila nikiliona tena nitazileta hapa namba za gari kwa sababu nawakumbuka dereva na konda wake pia.
Uliwahi kununua tiketi?Ningeweza kutaja namba yeyote ya basi lao (kama nina nia ya kuwaharibia biashara). Ila nimesema ukweli kuwa sikuzinakili.
Ooh Sorry, sikuwa makini kusoma ujumbe wako vizuri "nilikurupuka" si unajua tena. Kuvurugwa. Ila hawakupaswa kuokoteza abiria moshi-arusha. inashusha hadhi ya basi/kampuni yao.Ni kweli kabisa ila kuongeza ufanisi wao ni lazima abiria tulalamike. Tatizo ni kuwa hawana box la maoni kwenye ofisi zao.
Acha uongo utahama dini lakini kabila huwezi hama ng'oonimehama kabila mimi sio mchaga tena
Maelezo haya yanaweza kuwa na walakini ila pia kwenye tiketi kunakuwa na namba ya basi.Nilinunua tiketi saa10 kama na dakika kadhaa, na hili basi lilifika saa12 na dakika
Maelezo haya yanaweza kuwa na walakini ila pia kwenye tiketi kunakuwa na namba ya basi.
POLE SANA MKUU.Tiketi zao za Moshi - Arusha hawaandiki namba ya gari, hili ni moja ya jambo lililosababisha kugombania basi moja abiria (Wote tunataka kuwahi, hata aliyechelewa kukata tiketi)