KERO Kilimanjaro: Changamoto ya Maji eneo la Kitefure, Longuo licha ya mvua kunyesha

KERO Kilimanjaro: Changamoto ya Maji eneo la Kitefure, Longuo licha ya mvua kunyesha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana mara moja tu kwa kipindi kirefuna eneo hili lina wakazi wengi sana jamii hii ni ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Tunashindwa kuelewa tatizo ni nini.

Pia soma > KERO - Wakazi wa eneo la Kitefure Longuo, Moshi Vijijini hatuna maji kwa muda mrefu

IMG20250502071825.jpg
 
Back
Top Bottom