Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Nakumbuka kusoma humu kifo cha mmiliki wa hii kampuni.

Nadhani watapambana wataipandisha.
 
Kilimanjaro bus imefufuka bwana tumpe moyo mwekezaji. Wasiwasi wangu ni kwa Dar express.
Dar Express kubadilika hataki anang'ang'ania kununua bus za bei kubwa model za zamani huku Mchina akitoa bus model mpya zinazovutia wateja.

Kuna hao Tilisho na Esther na michina yao wanampeleka mswaki haijawi kutokea.
 
ulishiriki wakati wa kuunda kampuni? Ife isife inakuhusu nini, kafanye mambo yako km usafiri makampuni yako mengi
 
jan mpaka dec hukeshi kumshukuru Mungu ,,,,,,huo ndio mkesha wenyewe na hapo mpaka usiku ndio mtokellllllpolen sana wacha tukawaombeee mkesha wa chako n chako muweze kuondoka
 
Mbona Niko kwenye Kilimanjaro muda huu na sioni tatizo lolote? Na pia nimepanda two weeks ago sikuona tatizo lolote?

Ndio tumetoka Arusha saa Saba mchana, Sasa hivi anatembea Hadi 105km/hr
 
Fungua kampuni yako Mkuu uajiri wataokosa kazi Bandarini
Mkuu yani bora afungue tu kampuni yake aajiri watakaotoka bandarini kuwanusuru kutatuliwa marinda. Waarabu kwao vitu viwili ni muhuimu kutatua marinda na kuswali mara tano kwa siku.

Hata huko loliondo na ngorongoro walipojimilikia wafanyakaz kwaanzia walinzi hadi wapishi ni mwendo wakutemper na marinda yao.

Accumen Mo 25000q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…