Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,907
Reaction score
7,123
Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.

Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.

Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.

Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.
IMG_0645.jpg

IMG_0646.jpg
 
Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.

Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.

Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.

Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.View attachment 2680672
View attachment 2680673
Yakifa wewe unaumia nini?
 
Wrong timing! Yani wewe unaleta huu uzi wakati kampuni imeingiza vyuma vipya vya kutosha? Tukisema uzi wako una vita ya kiushindani tutakuwa tunakosea? Ajali ni ajali wala usihusishe na ubora wa huduma.

Na kwa taarifa yako , katika TOP Five ya mabasi yanayotoa huduma bora hapa Tanzania kwa ujumla huwezi kumuacha Kilimanjaro Express, kwa kanda ya kaskazini humkosi kwenye TOP Two. Jipangeni
 
Vizuri kama ameshaingiza vyuma mkuu. Maana nimeshangaa sana kuwa hilo ndilo basi la VIP.

Kwa niaba ya wasafiri wa huko, zifikishe salamu, ayaweke haraka barabarani asisubiri ifike december. Sio hizo marcopol za akina scandinavia.
 
Wamiliki wa mabasi wakati mwingine unaweza kufikiri labda ni wachawi. Sasa mpaka leo route ya Dar Moshi Arusha unaweka mabasi ya Scania Marcopolo Andare Class kweli! Yaani mabasi yana zaidi ya miaka 20 barabarani!! Tangu enzi za Abood Dar Moro!! Kisa tu wewe ni mkongwe kwenye hiyo njia!

Huyo tajiri hana tofauti na yule wa Kampuni ya Simba Mtoto anayefanya route ya Tanga Dodoma na mabasi yake chakavu yenye siti 2×3 ndani! Na bado kuna watu eti wanapanda takataka za aina hiyo. Cha kushangaza route ya Tanga Dar basi zake zote nzuri. Ila kwa Wagogo anapeleka mabasi screpa!
 
Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.

Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.

Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.

Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.View attachment 2680672
View attachment 2680673

Sijui kwa nini hii biashara si endelevu, wote baada ya msa hufa, BM anamtoa nje Kilimanjaro siku si nyingi, Abood naye kaleta vitu vipya hiyo njia ni balaaa, ingawa service na customer care ya Abood ni ya hovyo, huwezi sevu basi zima coca cola, unauliza kwa nn? Anasema hakuna aina ingine, Rubbish
 
Back
Top Bottom