queen hii ni kawaida bhana unapokuwa unashuka kwenye vimiteremko vidogo vidogo kwenye barabara!
Lazima tu utajisikia vi ashki ashki vya 6 kwa 6! lol..
kuna barabara fulani hapa igombe ina vilima kama 10 hivi disain hiyo.. nakwambia unaweza kulia kwa genye.. lol
hiyo barabara ya igombe umezidisha chumvi
Khaaa kama naelewa af kama sielewi tena....
hahaha,acha tu mkuu.ila pale ni pazuri sana kwa kuamsha stimu.
Hisia ambazo mtu anasikia akishuka ule mlima inachangiwa na spidi ya chombo cha uasfiri, kwa jinsi spidi inavyokuwa kubwa ndipo na feelings zinaongezeka. Maelezo yake ni kuwa hayo ni mambo ya gravity na wala musihusishe na yenu mnayopenda kuhusisha!!
Kwa wakazi wa dar wenye magari na mnaotumia barabara za osterbay najua jina la Kilima Nye@%e sio geni kwenu.Nipeni shuhuda zenu.Je ni kweli ukiwa ndani ya gari na ikashuka hako ka mteremko kwa speed unajihisi Nye@%em au ni stori tuu za mjini.Mimi mshamba wa huku mpitimbi nimeshauza mazao yangu,napanga kuja dar kununua ka private transport na Barabara yangu ya kwanza kuuzia sura itakuwa ni hiyo ya Osterbay-Kilima Nye@%e.Haya Wadada/Wakaka wakazi wa Dar tiririkeni kutoa shuhuda zenu kuhusu mambo ya Kilima Nye@%e.
View attachment 87532
Mama Mdogo anabisha kumbe? ni gravity ndiyo, lakini si inasababisha genye bhana???kwani tumebisha mamdogo,hatujabisha.lakini genye zipo pale pale.lol
chezeya kilma nye*# weyeee
mkuu kuna road moja hivi inatisha inapokuja suala la genye... soona ntaiweka hapa watu waitolee maoni... ni pure lami, hakuna bonde hata moja...
nadhani ingelikuwa bongo ingalikuwa na foleni kubwa sana!
iko wapi hiyo mkuu niiundie safari,mana juzi kati nimetoka bukoba.vilima vyote vya moro to dodoma to singida to kahama to bukoba lakini wapi.teh teh
aiseee babayangu ucnune gari nunua trekta 2endeleze kilimo babayangu