Kilichowakuta waliokamatwa na viongo vya albino!

Warren T

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
664
409
Hiki ndo kilichowakuta waliokamatwa na viungo vya albino huko Malawi!!
2f76d8025d076fb39ee68f5a31b47bc6.jpg
 
Ingawa kumwombea vibaya mwenzako ni dhambi, lakini adhabu waliyopatiwa ni hakiyao kabisa, maana hawa wenzetu wenye matatizo ya ngozi wanaishi kwa shida sana.
 
Hapa kwetu biashara hiyo ovu imeingia mpaka kwa wanasiasa na wafanya biashara wakubwa.
 
Siwaonei huruma hata kidogo sema waliowaua hawajui kutesa ingekuwa mimi ningewakata kiuongo kimojakimoja had wafe. Hapo wamepata maumivu ya mda mfupi sana.

Duc in Altum
 
hawakufanya sawa. Adhabu iliyowastahili hawa ni kukatwa miguu na mikono aaf waachwe hai
 
Siwaonei huruma hata kidogo sema waliowaua hawajui kutesa ingekuwa mimi ningewakata kiuongo kimojakimoja had wafe. Hapo wamepata maumivu ya mda mfupi sana.

Duc in Altum
Kiukweli moto Mbaya du!
Ila hakuna jinsi hawa niwahovyo kabisa
 
Back
Top Bottom