Kilichotokea Mbeya ni ishara ya makamanda kuchoka kuendelea kuwa watumwa wa Mbowe

Nakubaliana kabisa na hoja hiyo ya usulutani wa akina mbowe hakuna kinachokera kama ubabe na ukandamizaji wa hawa watu halafu utakuta eti wanasema JPM anaminya demokrasia ....ajabu sana wao wanachokitaka lazima kiwe bora Sugu kaonesha mfano
Kama mnachukia Usultani basi mngeuchukia Usultani wa CCM. Yaani Kitendo cha CCM kujimilikisha nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom