Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa barani Afrika kwa muda mrefu sana nchini Tanzania kumekuwa na utumwa ndani ya siasa zetu za upinzani kitu kinachofanya kuwa ni ngumu kwa upinzani kutoa upinzani wa mawazo mbadala,sera na hoja baada yake kuwa ndumi la kuwili ili kuwanufaisha wachache ambao wameamua kujikita katika biashara ya siasa na kuamua kugeuza vyama vyao saccos zao.
Slave master hao wamejigeuza kama miungo watu ndani ya vyama vyao yani walichokipanga wao lazima kifanywe ukipinga tu unakuwa msaliti pia hujichotea pesa za ruzuku za chama kama za kwako bila kuhojiwa kwani ukihoji utaonyeshwa cha mtee makuni bila kusahau kwa manufaa yao binafsi wanaweza kubadilisha gia angai pia wanapandikiza chuki na kuwaaminisha wafuasi wao upinzani ni kupinga kila kitu hata vya maendeleo na kujivictimisha kwa wananchi.
Kitendo alichokifanya sugu mbeya cha kushirikiana bega kwa bega na mh Rais katika kuijenga Tanzania moja ni ishara tosha ya makamanda kuamka.Hivyo ni wakati wa upinzani kuundwa upya na kuwaondoa wote wanaoharibu image ya upinzani especial mbowe na maalim inabidi watupishe undugu na usltani umepitwa na wakati