Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,556
- 4,162
Ng'ombe amechinjwa pale zanzibar, akagawanywa katikati. Nusu ikabaki zanzibar na nusu ikaletwa bara. Kabla hatujaanza kumla, daktari wa mifugo pale zanzibar akatangaza kuwa nyama ya ng'ombe huyo haifai kwa matumizi ya binadamu hivyo wazanzibari wasimle!! Sisi huku bara tunang'ang'ana kumla kwa madai kuwa ile nusu iliyobaki zanzibar ndio ina shida hii iliyokuja huku iko poa!!