Mimi ni mgeni humu ndani, nimekuwa napitia kwa muda sasa 'as a guest' kiukweli JF ni sehemu inayofanya mtu usiboreke.
Kilichonivutia zaidi ni upatikanaji wa habari kwa haraka, kila unaposikia jambo fulani ukiingia JF tayari lipo, hivyo basi naomba mnipokee tafadhali.