Kilichonisibu kwa bwana yule

habari ya hapa, unaonekana mtram, unavutia sana kwa macho. Au una sauti ya kumtoa nyoka shimoni. Maingezi mawili matatu jamaa amesimamisha, Dah!

Lakini pia wanaume kwa kawaida tunaweza kusimamisha bila sababu za msingi.
 
Unajua thread yako hii huenda umeiandika kimzaha lakini ndicho kinachowakuta wadada wengi.

Baadaye mnakuja kusema mtu amekubaka.

Kwanza lazima ufahamu, mtu hakutendei jambo bila wewe kumruhusu. Ndicho anachokiongea Nokia83 .

Kama hukuwa na nia yoyote na bwana huyo mara tu alipoonesha signs za kukushushia heshima ulipaswa umkemee na afahamu kuwa wewe si wa hivyo alivyokufikiri.

Kukimbia na kujichekesha na kuwaza sijui ungemsaidiaje ni sign kwetu wasomaji tu kuwa angekupata wakati muafaka angekukula tu.

Endelea kutuaminisha vingine lakini nakuhakikishia kwa mentality hiyo utaendelea kuwa victim wa mabwana wale kila mara.
 
habari ya hapa, unaonekana mtram, unavutia sana kwa macho. Au una sauti ya kumtoa nyoka shimoni. Maingezi mawili matatu jamaa amesimamisha, Dah!

Lakini pia wanaume kwa kawaida tunaweza kusimamisha bila sababu za msingi.
Nalikwambia uwe bodigadi wangu, ukanikatalia
 
Ungempa tu,umefanya kosa kubwa sana kutomtimizia haja ya moyo wake
 
Mentor heshima kwako mkuu

Kwanza nalistaajabu kwa MTU km yule jinsi navyomuheshimu km kaka mkubwa

Sikutegemea km kichwan mwake anazini nami, nalishikwa na butwaa sana,

Mentor kutomkemea kwangu hakumaanishi hivyo, mpaka nikukalie uchi ujue mifupa na damu yangu vimewasiliana na kukubaliana
 
achana na "bwana yule" njoo huku
 
Kama lile ni tundu la sindano basi hata wewe una nyege mshindo
 
Asante kwa taarifa! Sasa na wewe ilikuwaje ukaenda kumuuzia mwanaume madera? Matatizo mengine mnajitafutiaga nyie wenyewe! Kwenye biashara unaambiwa, Know your customers!
 
Hili ni gubegube..na apaa linatangaza biashara ake

Sema linajifanya tu
 
ww unauza nyapu maofisini unazuga na biashara za chupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…