Kilichonileta hapa ni kuomba kama kuna dawa ambayo mwanamke akinywa anapata hamu ya kufanya mapenzi

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
305
1,000
Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali,

Kuna mdada ana umri wa miaka 30 alikuwa hajawai kufanya tendo na toka avunje ungo alikuwa hajapata elimu ya usafi hasa ukeni kwa hiyo alikuwa hajawai kujisafika ndani ya uke kama wafanyavyo wanawake hujisafisha kwa kuingiza kidole.

Alipokuja kufanya tendo hakujisikia hisia zozote na mazingila anayoishi ilishindikana kumpeleka hospitali, mnaishi na mama yake hatoki bila ruhusa na hospitali anatumia kadi ya bima lakini pia hiyo hospitali wanayotibiwa familia inajulikana kwa hiyo akienda pale atatibiwa kwa kutumia bima lakini pia mama ataambiwa mwanae anachoumwa na hawezi kwenda hospitali nje ya ile, baada ya kuafanya utafiti ikagundulika anaumwa fangasi ukeni kwake tukamnunulia dawa za hospitali na za kisuna, ametumia amemaliza dozi.

Kilichonileta hapa ni kuomba kama kuna dawa ambayo mwanamke akinywa anapata hamu za mapenzie ndani ya Dk 5-30 naomba mnitajie kwa ili tujue kama mgonjwa amepona ashiriki tendo.

Yeye mara nyingi anasema hayupo tayari anaogopa maumivu kwa sababu alikuwa akifanya tendo anapata maumivu lakini pia uke unavimba na alikuwa hajisikii chochote lakini ute alikuwa unatoka mwingi.

MSAADA tafadhali wajuvi

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
2,073
2,000
Wachina wanazo lubricant za kuongeza libido kwa wanawake ingia kikuu au aliexpress utazikuta huko
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,551
2,000
Utapigwa bure tu mkuu, jitahidi kumwandaa vizuri tu mwenzako, atapata hamu tu, mguse kila engo utakuja kunishukuru humu humu.
 

Nktlogistics

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
2,194
2,000
Atumie vilainishi Kama kl-y au alovera oil. Ikidunda na hapo aitwe sharifu majini chap kwa haraka.
 

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,334
2,000
Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali,


Kuna mdada ana umri wa miaka 30 alikuwa hajawai kufanya tendo na toka avunje ungo alikuwa hajapata elimu ya usafi hasa ukeni kwa hiyo alikuwa hajawai kujisafika ndani ya uke kama wafanyavyo wanawake hujisafisha kwa kuingiza kidole....
Mkuu ukishapata dawa ya kupandisha hamu zake, hakikisha pia unaweza kuzishuza kila mara...

Vinginevyo, atatafuta wa kukusaidia...
 

Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,495
2,000
spanish.jpg


Thanks me later...
 

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,825
2,000
Nakupa namba ya mdada ana vibigji we mpe akile, akikimaliza hajaomba mechi njoo nikurudishie hela yako. Mm vimenisaidia sana kwa madem ambao sikuwa na confidence ya kuwaomba papuchi, kwa maana kuwa ni wazuri sana unampa lift then mpe pakti atafune
 

Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
2,957
2,000
Labda hana hisia na wewe, maana navyojua mtu ukiwa na hisia nae kitendo tu cha kuskia sauti yake hamu kama zote acha kuonana nae
 

kasulavenance

JF-Expert Member
Jan 23, 2020
697
1,000
Yaani wengine tumebarikiwa ni gusa unate! Kumbe kuna mpaka ugonjwa wa low voltage pata picha ni mke wako duh mmtu unakuwa unashinda Bar tu ha ha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom