Kilichonikuta usiku huu jamani

hio hali kitaalam.ni kwamba ubongo unawahi kuamka kabla. mwili sasa hapo ndo inatokea hali ya kujitutumua ubongo uko macho ila mwili uko usinguzini
Mama ake unasinzia, no??? Maana naona full stops zimekaa sipo, usinguzini imeeleweka haswa na kadhalika na kadhalika
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii treatment nmeipenda,ntaitumia hta kwa mtu wangu akikoroma hhh
 
Habari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi

Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
Wataalamu wakikupa ushauri, ikiwezekana watoe somo ziada la stroke ndogo ndogo ambazo huwapata watu ila watu hawa notice mpaka siku ikitokea kubwa zaidi na kupelekea paralysis type zingne
 
Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako

I wanted to say the same thing, but Sababu nlizingatia kitu kinaitwa data redundancy, I had to look around if somebody has arleady corrected her, I did not want repitition of the same thing, because i knew somebody must have seen that mistake, sasa kwakua this is the first comment ilotoa ushauri basi i had to comment on it.. No offense, ila in additon to what the other dude has said, Ras Simba anahusika kusema ukweli...OVA
 
Hahahahah!

For real bro, I mean it's a no brainer to force yourself into writing or speaking a language for the sake of being seen as a master of it. Unless you are trying to work on the "practices make perfect " notion.
 
Habari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi

Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
usilale sana lala kiasi alafu kwa usahihi usije fia usingizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…