Kilichonikuta leo lodge

Kwan kuanzisha uzi n sh ngap
Sio huyo tu wapo wengi wenye tabia hizo
Nawe ukome kwenda kukaa lodge fikiria ungekuta huyo jamaa anaingia lodge na mama yako mzazi ungekuja kuanzisha mada Jf?
 
nipe namba yake na mm nimpitie mkuu
 
Unaishi mkoa gani? Au wilaya gani? Maana mikoani kuna asili ya kua na sehemu ndogo hivyo kukutana na mtu unaemfahamy ni jambo la kawaida
 
Hayo ni mambo binafsi yakaushie. Wewe ni rafiki tu wa mtoto wake, sio mlinzi wala msemaji wa familia. Ila pia tabia ya kukaa reception za lodge utaona mengi.
 
Na mimi ngoja nitafute rafiki anaefanya kazi lodge niwe nakaa kwa nnje naweza mfumania limama fulani nipate wekundu
 
NILIWAHI KUTANA NA RAFIKI, MFANYAKAZI MWENZANGU MKE WA MTU,SISI TUNATOKA GEST WAO WANAINGIA NA MCHEPUKO WAKE.ALIHAMA KITUO CHA KAZI KWA AIBU,NI WALE WANAWAKE WANA NAFASI KANISANI, STATUS NA POST ZAKE NI ZILE ZA YESU HIVI, MUNGU VILE, NUKUU ZA BIBLIA., HAKOSI MORNING GLORY, MAOMBI NA MAOMBEZI, NK
 
We dogo nona sana, yaani pesa yake umekula na siri haujamtunzia.Kweli ubinadamu kazi.
 
Nnae mmoja anapiga neno hatari mnooo na ana watoto wawili kazaaa na waume za watu wote ..YAANI siku hizi akinionaga hanipi neno ..ni wale wakatoliki wakarismatiki YAANI aliajiriwa nampokea kazini akawa ananiona kanisani ananipiga neno balaaa nimepotea kwenye tungi ...nkamwambia tu karibu ... Endelea na maombi Yako mi niache pombe zangu na Mungu wangu.... Leo ana watoto wawili wote baba tofauti na ni WA waume za watu wa ndoa kabisaaaa..... Na ana mimba changa hatumjui mmimbaji ni nani ..amekuwa mpole Sana ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…