Kilichonikuta leo lodge

Nilifikiri rushwa ipo serikalini kumbe hata kwenye jamii zetu hipo kwanza wewe jasiri sana mpaka kuandika humu mimi nisingeweza hata kidogo
 
Kuwa makini la sivyo mmaza atakupoteza. Umechukua wekundu achana na naye na usitake kuleta mazoea naye mkuu mara kumblackmail wala nini. Ni ushauri tu mkuu.
 
Kwa hiyo hapa ndio umetunza siri, kwa kuweka uzi JF?????
 

Alichokikosa ndo amekifata lodge mkuu
 
Kwa hiyo jamaa siku ile alizikosa na tena kamlaumu sana
Sikia tunza siri yake pia unaweza mwambia mumewe ukaonekan we ndo mbaya so mezea ww cha msingi kuwa na ukaribu nae uyo bi maza kuondoa mashka nae utapata kumpuna visenti viwil v3 maana izo alikua akampe jamaa ake
 
Hiyo fulsa haiji mara mbili huyo mama kashakua demu wako pesa kula kisha rudi mwambie mama nataka mzigo huo me mwenyewe nakumaind kinyama tangu kitambo hawezi chomoka huyo ni malaya tuu hahahaaaaa
 
Hiyo fulsa haiji mara mbili huyo mama kashakua demu wako pesa kula kisha rudi mwambie mama nataka mzigo huo me mwenyewe nakumaind kinyama tangu kitambo hawezi chomoka huyo ni malaya tuu hahahaaaaa
Hakika na chenji inabaki,hata hofu hatokuwa nayo tena
 
Kweli mazingira ya waandishi wetu ni magumu ila una bahati juzi umekota zile za Uwoya leo tena umekutana na za Mama wknd itaenda vyema
 
Wewe ungemuomba mzigo. .acha ujinga
 
Haya ndo matatizo ya kwenda viloji vya uswahilini...waswahili kibao!!!!!...ukiingia tu room wanataman hata wapige chabo..
 
Nenda katubu mbele ya kamati kuu ya maadili ya chama cha mapinduzi
 
Sio huyo tu wapo wengi wenye tabia hizo
Nawe ukome kwenda kukaa lodge fikiria ungekuta huyo jamaa anaingia lodge na mama yako mzazi ungekuja kuanzisha mada Jf?
 
Huyo mfanyakazi wa hiyo lodge hafai. Sehemu ya kazi si ya kupiga story na mgeni. Mngeenda bar.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…