pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Wapenda natumai mu wazima wa afya kabisa ingawa jua linazidi kutupiga ila ndo hvyo tunatafuta rizki hivyo hatuna jinsi.
NAOMBA NIENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA.
Leo ni jumapili nimeamka zangu asubuhi nikawa najiuliza vitu vingi akilini mwangu...ambavyo nimejikuta vinaniumiza kichwa kwa kweli..
Picha linapoanzia.. (its all about dream)
Usiku wa kuamkia juzi nimelala usiku nikaota kwamba niko na mpnz wngu ndani tunataka kufanya SEX ila kuna kitu kikawa kinatuzuia (kutokana na ndoto kikwazo alikuwa ni mama mkwe sabb tulikuwa tunakaa chumba kimoja na mama mkwe alikuja home, mpenz wangu alikuwa anaforce ila mimi nikamkatalia ) hivyo mpaka naamka hatukufanya mapenzi ila ikumbukwe niko na wazazi bado sijapanga na mpnz niliyemuota ni ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa sasa.
Siku ya pili yake usiku yaani baada ya kuota ndoto hiyo, kesho yake nikaota nafanya mapenzi kwenye gari na msichana nisiye mfahamu, VYOTE NIKAPOTEZEA.
CHA AJABU siku ya tatu yake ambayo ni usiku wa kuamkia jumapili ya leo nikaota kwamba nafanya mapenzi kinyume na maumbile yaani namuingilia mtu ambaye nilisomaga naye O-Level na alishaga fariki mda mrefu sana na ni mvulana mwenzangu.
Nilipoamka asubuhi ikabidi nikae kitandani nijuulize maswali haya:--
1. Kwa nini naota ndoto juu ya swala la sex iwa siku tatu mfululizo?
2. Kwanini matukio yote ni ya aina 3 tofauti?
3. Ambalo ndo limeniumiza kichwa sana, ni kwanini nimeota namuingilia mwanaume mwenzangu na ambaye alishaga fariki. (sinaga michezo hiyo, na sikuwai kufikiria kuhusu michezo hii maishani mwangu kivipi nimeota!!)
KILICHONISHANGAZA
usiku huu ambao ni baada ya kuota ndoto hiyo ya kumwingilia mwanaume mwenzangu yaani baada ya jua kuzama saa mbili usiku niko nimekaa sehemu , ametokea mtu ambaye simfahamu anahitaji number zangu (ni kijana almost 20-24 years) nilimkatalia kwamba siwezi kutoa number kwa nisiye mfahamu, akanibembeleza kwamba anashida nimpatie number then atanipigia anielezee nikaona sio kesi ngoja nimpe... Tukaachana.... Mda umeenda sasa saa 4 kasoro ananitumia text ananiambia anahitaji NIMUINGILIE KINYUME NA MAUMBILE YAANI TUKUTANE THEN NIK*MF*L.
ALHAMDULILLAH
NIKAFIKIRIA KWAMBA AMA NI ILE NDOTO NILIYOOTA LEO ILIKUWA NA MAANA HII!!!!
Mpaka sasa bado najiuliza kuhusu hizi ndoto kuja mfululizo na hili tukio la leo..
Jamaa sijamjibu, sina michezo hiyo na sifikirii juu ya huo mchezo .MWENYEZE MUNGU NIEPUSHILIE MBALI.
Msaada wenu wadau juu ya hizi ndoto na hili tukio, kuna picha gani mmepata ,?? Na ni tafsiri gani??
KIKUBWA NINCHOJIULIZA NI KWANINI NIMEOTA NINAMWINGILIA MWANAUME MWENZANGU?????
NA JE?? NDOTO HII NI KWANGU MIMI TU IMENITOKEA AMA kUNA WENGINE PIA INAWAKUTAGA????