Kilichomponza Maige - aligoma kumpa Mwarabu Loliondo

Kilichomponza Maige - aligoma kumpa Mwarabu Loliondo

Good2015 kwa nini una tabia ya kutukana, ni vizuri watu wazima tukaheshimiana sio vizuri kila mtu unamtukana tahira sijui ----- why all these? Kwa nini usitumie lugha ya kistaarabu na watu wakakuheshimu? Mtu akitoa mada au kuchangia mada usimtukane mwelimishe kama unaona amekosea. JF ni mahali pa great thinkers. Don't waste your time to give harsh words.QUOTE=good2015;6087768]huyu bwe,ge kilichomsukuma kuandika ni udini tu wala hakuna la maana. atakuwa taahira, nawasiwasi pia na fakilia yake.[/QUOTE]
 
Hakuna cha udini wala nini,tz hii siasa zake zinachefua sana! Kagasheki anafanya nini? Ngoja,zengwe linakuja atahama nchi
 
Uduni upi?Facts ni facts! Loliondo ilianza kwa Mwinyi!
Hao wote waliotajwa wako karibu na waarabu sana, kasoro bwana Ezekiel
peleka utaahira wako huko na wewe. kalishe watoto ukimaliza mumeo anakusubiri toka hapo kwenye keyboard.
 
sijachanganyikiwa. nimemaanisha kabisa hicho nilichokiandika. udini hautatufikisha popote.


Watanzania mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki? Hapo UDINI unaouongea uko wapi? Au aliyoyaandika huyo jamaa japo inawezekana kuna kujiosha kwingi wapiameandika mambo ya udini? Watnzania tuache kufikiria kwa makalio kama mtu akiandika kitu himu mnasema udini ninawasiwasi na akili zenu mnaokimbilia udini

Halafu kwanini mnatanguliza udhaifu wa kipumbavu kulalamikia udini mbona hamjiamini na dini yenu hiyo? Kila wakati kulalamika udiniudini kama si akili za kijinga ni nini? TUMECCHOKA NA UDINI WENU ina maana nyie tu ndio mnauona huo udini wengine hawauoni? F**k you
 
good2015 ndio maana nasema nina wasiwasi na akili yako kwa sababu zifuatazo
1, Nyumba ya Maige kama ilivvyoandikwa ni kwamba ilinunuliwa dola laki saba lakini yeye alikanusha na kusema aliinunua dola laki nne wewe hiyo mil700 umeitoa wapi?
2, Unatoa povu kwamba kuna udini sababu wameandika Maige alitolewa uwaziri sababu alikataa kumpa Mwarabu Loliondo au udini unaouongea umejitokeza wapi? Unamtetea mwarabu kumilikishwa ardhi ya Tanzania kwa kisingizio cha udini,huyo mwarabu ni ndugu yako? Wewe ni mwarabu? Unafaidika nini au unakosa nini ? Au wewe ni vuvuzela lisilo na kitu kupiga kelele bila kujua kwanini unapiga kelele?
Kwa akili yako ilivyo unategemea hiyo dhana ya udini uliyoijaza kwenye bichwa lako na wenzako wenye mitizamo michafu kama wewe itakusaidia au itawasaisia nini? Je kwa hiyo mitizamo yenu hasi imesaidia kuzuia huyo mwarabu kumilikishwa eneo hilo?

Wakati mwingine tutumie akili kufikiri sana tusitumia matumbo au makalio kufikiri na kuongozwa na dhana hasi zisizo na faida zituendeshe,dini yako haimsaidii mtu bali wewe na Muumba wako tafadhali isiwe KERO kwa wengine tuwe wastarabu
 
Watanzania mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki? Hapo UDINI unaouongea uko wapi? Au aliyoyaandika huyo jamaa japo inawezekana kuna kujiosha kwingi wapiameandika mambo ya udini? Watnzania tuache kufikiria kwa makalio kama mtu akiandika kitu himu mnasema udini ninawasiwasi na akili zenu mnaokimbilia udini

Halafu kwanini mnatanguliza udhaifu wa kipumbavu kulalamikia udini mbona hamjiamini na dini yenu hiyo? Kila wakati kulalamika udiniudini kama si akili za kijinga ni nini? TUMECCHOKA NA UDINI WENU ina maana nyie tu ndio mnauona huo udini wengine hawauoni? F**k you
Watanznia mnafaidika nini na uongo wa kuzua waziwazi huyu jamaa katika waongo ni daraja la kwanza unazani hatijui kulichomtoa maige pale acha uongo danganya wanao nyumbani ndugu
 
Watanznia mnafaidika nini na uongo wa kuzua waziwazi huyu jamaa katika waongo ni daraja la kwanza unazani hatijui kulichomtoa maige pale acha uongo danganya wanao nyumbani ndugu


Mwanaume rijali anakuwa wazi kama nilivyoandika hapo lakini SHOGA anaficha madaifu yake funguka tukuelewe acha uke
 
Loliondo iliuzwa simpy because wanaoishi pale sio Waislam. Nimewahi kusema hiki kitu hapa kama ni suala la Twiga hata kule Saadan wapo mbona hawauzwi? Udini unaliangamiza hili Taifa. Ndio maaana mara zote Waarabu/washirika wao wametaka wizara hii ishikwe na Waislam wenzao.
 
Ezekiel Maige (MB) aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii alisita kutoa ardhi kwa waarabu. Sambamba na hili aligoma kutoa vibali vingi tu kuwindia kwa wageni wengi wakiwemo katibu mkuu wa CCM na kampani yake.Vitalu vingi vimeshikwa na wawindaji wa kiarabu na wazungu.

Waliowahi kushika wizara hii ya maliasili:

Abubakar Mgumia - Ndiye aliyeuza Loliondo kwa familia ya mfamle wa SAUDIA (1990)
Zakhia Meghji - Ndiye aliyeanzisha dili ya kuuza Twiga/Chui nje ya nchi hasa uarabuni
Ezekiel Maige - Aliwapa kipaumbele wazawa kwenye uwindaji. Alipigwa zengwe baada ya kukataa kumpatia Mwarabu OBC ardhi.
Hamis Kagasheki - Ndiye aliyewapatia WAARABU ardhi ya hekari 1,500 katika bonde ambalo wamasai wamekuwa wakilishia mifugo yao toka dunia hii imeumbwa.

Si mnaona wenyewe aina ya mawaziri na mambo waliyoyafanya kwa waarabu.
Watasemana wenyewe tu! Nchi imechukuliwa tayari! Ila hapo kwa Morani yetu macho!! Maige simama kama ulikuwa peke yako dhidi ya wezi!! Leta hoja kwa wapigania UHURU ifanyiwe kazi!!
Wauza Nchi wanaendelea kuuza huku wakijenga uwongo wa UGAIDI ili kupayusha hoja muhimu.
JK 1.
Kinana 2
Kagesheki 3 tumekwisha.
Umkhoto we ziswe!! tuwe tayari kuuwawa sasa damu inahitajika chini kuendelea kurutubisha mapambano ya UHURU.
 
Na Kaghasheki anaewanyang'anya hekta 1500 ili ampe Mwarabu yeye aitweje?
 
we taahira mbona hujatueleza zile mil700 alizonunulia nyumba ya kifahari alizitoa wapi huyo maige wako? au kwa sababu umempa usiku mmoja sasa ndo unataka kujifanya msemaji wake kuanzia kitandani mpaka mitandaoni!

Na kabla hajapoteza uwaziri aligawa msaada wa milion 500 jimboni. Alipoulizwa akasema ni michango kutoka kwa marafiki zake.
 
Mleta mada naona kama Maige kakutuma uje umsafishie jina lake hap JF! Vipi kuhusu lile jumba alilonunua kutoka kwa madalali na akalipa Cash! Ilitoka wapi ile hela ndefu?
Hiyo kesi mbona ilishaisha siku nyingi kwa ufafanuzi alio utoa. Achana na kauli za kimaskini hazito kusaidia. Kwani million 700 za Maige ndio zimemfanya awe tajiri namba moja. Be fair to thread.
 
Page ya kwanza na ya pili ya uzi huu kuna Matusi mengi sana na Lugha chafu mno ! Kwa kuwakomoa watukanaji Sichangii chochote .
 
Back
Top Bottom