UTANIPENDA
Member
- Feb 25, 2012
- 31
- 12
Ezekiel Maige (MB) aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii alisita kutoa ardhi kwa waarabu. Sambamba na hili aligoma kutoa vibali vingi tu kuwindia kwa wageni wengi wakiwemo katibu mkuu wa CCM na kampani yake.Vitalu vingi vimeshikwa na wawindaji wa kiarabu na wazungu.
Waliowahi kushika wizara hii ya maliasili:
Abubakar Mgumia - Ndiye aliyeuza Loliondo kwa familia ya mfamle wa SAUDIA (1990)
Zakhia Meghji - Ndiye aliyeanzisha dili ya kuuza Twiga/Chui nje ya nchi hasa uarabuni
Ezekiel Maige - Aliwapa kipaumbele wazawa kwenye uwindaji. Alipigwa zengwe baada ya kukataa kumpatia Mwarabu OBC ardhi.
Hamis Kagasheki - Ndiye aliyewapatia WAARABU ardhi ya hekari 1,500 katika bonde ambalo wamasai wamekuwa wakilishia mifugo yao toka dunia hii imeumbwa.
Si mnaona wenyewe aina ya mawaziri na mambo waliyoyafanya kwa waarabu.