PostGE2025 Kilichomponza Dkt. Biteko ni kusema ukweli kura alizopata ni elfu 7, wakati wenzie waliiba kura vibaya sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kuna huyu jamaa Kumbusho Dawson ametoa sababu za Dotto Biteko kutupwa nje ya baraza la mawaziri ambalo pia ni haramu tu!

Dotto Mashaka Biteko ameachwa nje ya Baraza Jipya la Mawaziri. Dotto Biteko alihudumu kama Naibu waziri Mkuu na waziri wa Nishati kabla ya kutupwa nje ya baraza lililo tangazwa siku ya leo. Hii inaashiria nini?.

1. Kwanza alitukwaza sana, aliwezaje kwenye jimbo lake la Bukombe kupata kura 7,000 Elfu sabu tu, wakati wabunge wenzako wakijinyakulia kura za maruhani laki mbili na ushee kwenye majimbo yao?.

2. Kwa nini una hofu sana ya Mungu?...Kwenye siasa hupaswi kuwa na hofu ya Mungu. Kupata kwako kura elfu saba pekee jimboni kwako huoni kama ulisababisha mama kupunguza kura na kufanya mama apate kura Milioni 31 na laki tisa tu?. Ungepambana kwa cheo ulichokuwa nacho cha unaibu waziri Mkuu, huenda ungeongeza kura na ungefanikisha kura za mama kufika hata Milioni 33 hivi
 
Kura 7000 hata me hapa tukuyu nikikaza miezi 2 nafikisha

NB😛ole yake
 
Walikua wanaiba wagombea kumbe,nilidhani tume
 
Back
Top Bottom