Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Mashirika yoote ya hii "inchi "...yana huduma mbovu vibaya mnoo..
kwa kuwa mondi ni celebrity tumejua mchezo uliofanyika.. ila Kila siku wananchi wa kawaida wanafanyiwa hiyo michezo!
na wale wanaosema mondi angeenda kushtaki kwa uongozi wa ATCL.. hivi ukienda kushtaki atakusikiliza nani????
 
Sijakuelewa

Umesoma uzi wangu vizuri? au ndiyo upotoshaji?
Nimeunga mkono mawazo yako!!Hebu tulia usome tena nilichoandika.Nimeunga mkono mawazo yako kwa lugha ya kiutu uzima .Kama hujakaa chini kusoma kwa kutuliza mawazo unaweza kudhani hatupo pamoja.Hahahahahaaa!!
 
Hivi nyie na akili zenu mnasema issue ni Atcl kweli acheni kusingizia

Issue ni moja tu kwa nini aimbe nyimbo ambayo amefungiwa huo ni upuuzi labisa tena wa hali ya juu msijaribu kuhalalisha upumbavu mnasingizia Atcl ile nyimbo ni upumbavu mtupu utaje nyege mara mara 3 afu umalizia nyegezi mwingine si ataimba **** kumaliza kazi afu asingizie kitu kingine huyu dogo ana dharau piga ban kabisa
 
Sijakuelewa

Umesoma uzi wangu vizuri? au ndiyo upotoshaji?
Nimeusoma na nimekuunga mkono kwa uliyoyasema ila Mimi nasisitiza Diamond kufungiwa sio kwa sababu ya clip ya kuhusu ATCL,bali ni kwa sababu hakutii masharti/katazo alilopewa na BASATA kuhusu muziki wake wa Nyegezi usiokuwa na maadili.Tuache visingizio kuwa kuliwa na shinikizo toka kokote.!!Hebu acha haraka ya kusoma umesimama,kaa chini na utulie usome nilichoandika,sio upotoshaji Mkuu@Abunwasi?
 
Tatizo kubwa ni kwamba wengi mnaochangia hapa kama wewe mnachangia kama wasafiri wa labda mabasi au wasafiri wa humu humu nchini.
Jiulize; Hivi wajua kuwa safari za ndege huhusiana kote ulimwenguni?? Kwa vipi? Kama nina safari kutoka Mza kwenda Jberg, naweza fanya booking yangu nikasafiri bila kulala Dar na nikaenda kulala home Jberg siku hiyo hiyo??
Sasa ndio maana unaambiwa, Fika even 2 hrs before departure time. Hii inakusaidia na pia inawasaidia wasafirishaji wanaokusafirisha kurekebisha mambo kama kweli walizidiwa na abiria.
Kivipi; Wakiona kuna msongamano au wamezidiwa wanafanya mpango kukodi ndege nyingine iliyopo jirani ili kukuwahisha dar chini ya nusu saa 7a muda uliokuwa umepangiwa kuingia. Unafika unaendelea na safari yako in time.
Mnaposema Mondi kaonewa, hakufanyiwa haki, Je, kuchelewa kwake ati nusu saa kabla ya departure time ndio kuiharibie sifa ATCL kwa sababu ya "Ujuha wake?"
Next time, akodi bus au ndege yake binafsi
Na ww mbona umeongea kama wapanda mabasi tuu .... !! Kujua sheria ya aviation inahitaji elimu ya ziada ...kufika haijalishi ila inatakiwa kufika 40 min before departure kwa ndege za ndani ya nchi na counter inafunguliwa masaa mawili kabla ya departure so ndani ya masaa mawili hayo usije zigusa dk 40 zao za mwisho ukizigusa ndipo utaesabiwa umechelewa .....alafu balance ya wait na vitu vingine vinafanywa kwenye muda wa dk 40 ambazo huruhusiwi kuingia wala wao hawaruhusiwi kuuza nafasi ya MTU ata kama amechelewa ......Atcl walifanya makosa na huwa wanafanya Mara nyingi ila watu hawajui pakusemea
 
Back
Top Bottom