Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana

Dar es salaaaaaaaam
Mpo tyariiiiiiiiiih
LOWASAAAAAAAAAH
Live in dar
Ni cku ya jumapil
Tar 20/9/2015
Katika viwanja vya
KIGAMBONIII
Saa9:00 asbuh mpka
Saa12:00 mchana
MBAGALAAAAAH
Zackem
Saa1:00 mchana mpk
Saa3:00 Alasiri
UKONGAAAAAH[pugu]
Saa3:30 Alasiri mpk
Saa6:00 jion
Patakuwa Hapatoshiih
Wooooote Wapenda
Mabadilikooooooh
Mnakaribishwaaah
Kusikiliza Sera za
Mabadiliko za Mh Rais
LOWASAAAAAAAAAH

REVOLUTION
TIME
 
Nilikuwa nasubiri mwingine aanzishe thread ila ngoja niubebe mtanange huu. Muda huu vijana wako wanacheza myimbo za ukombozi.

Hapa mjininpilika ni nyingi mno na bendera za CHADEMA ni nyingi maana kuna baadhi ya vijana wamefunga bendera nne kwenye pikipiki zao.
 
Sisi tupo kwenye maandaliz ya gharika ya kigambon na lowasa na ukawa kesho..bukoba hamjawah kuniangusha na hamtaniangusha naamin
 

Attachments

  • 1442669395644.jpg
    1442669395644.jpg
    66.9 KB · Views: 1,057
  • 1442669429134.jpg
    1442669429134.jpg
    81.6 KB · Views: 970
  • 1442669452754.jpg
    1442669452754.jpg
    79.4 KB · Views: 968
  • 1442669478776.jpg
    1442669478776.jpg
    38.8 KB · Views: 952
  • 1442669507905.jpg
    1442669507905.jpg
    122.1 KB · Views: 947
  • 1442669546024.jpg
    1442669546024.jpg
    68.6 KB · Views: 954
Kampeni za Lowassa, UKAWA za KISAYANSI SANAAA.... cheki hilo gari ambalo ni Jukwaa hapo hapo...!!!

Ma CCM wanaweka majukwaa ya MITI HADI LEO...

CCM out...!!!
 
Hii sasa ni kufuru...... Ni zaidi ya Tononoka!...
 

Attachments

  • 1442669976129.jpg
    1442669976129.jpg
    72.7 KB · Views: 3,043
  • 1442669987444.jpg
    1442669987444.jpg
    76 KB · Views: 1,199
  • 1442670000874.jpg
    1442670000874.jpg
    84 KB · Views: 2,824
  • 1442670013063.jpg
    1442670013063.jpg
    70.7 KB · Views: 1,149
  • 1442670025364.jpg
    1442670025364.jpg
    87.7 KB · Views: 2,722
Back
Top Bottom