Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

Kama kawaidayake EL...kamwaga mpunga watu wamekula...atakachoshuudia October....namuombea Mungu ampe nguvu kukabili matokeo
 
Watu wamekula hela kwa mamia wengine wamejaziwa mafuta...kunywa viroba shauri yenu hela mnaliwa nchi haiendi kwa wanunua madaraka...raisi bora atatoka ccm

mkuu mm sishangai kama kuna msomi kuanzia degree 1. anaweza kwenda kumsikiliza lowasa wakampime akili

Kama unaweza kununua huu mtiti ukakusindikiza kuchukua fomu, basi ushashinda kwani unauwezo wa kununua kura zao pia

Mkuu wote hawa wanaosema eti watu walinunuliwa si bure. Wamebanwa haja kubwa inayotoka kama haja ndogo! Hapo sasa wanajikuta wanahangaika na kutoa uongo usiofanana hata na ukweli.
 
...dah...mkuuu ad povu limekutoka aseeeeee.....relax...take a chill pill...nguvu ya UKAWA...
 
Hii thread inanikumbusha msemaji wa Iraq Mohammed Saeed al-Sahha kipindi cha Saddam Hussein wakati Wamarekani wameshavamia ardhi ya Iraq, yeye anasema wamewauwa vibaya wakati wakijaribu kuingia kwenye ardhi yao mpaka wamerudisha majeshi nyuma.

bor huyu msemaji aliweza kusimama na akasema anachokiamini kama msemaji lakini ni aibu kwa taifa lenye wasomi unaomba nafasi ya juu kila mara unaomba msaada kwa lissu ni aibu kuriko hata ya huyo uliyemtolea mfanoila kama shule imekupita pembeni basi lazima utoe mifano kama hiyo
 
Watu wamekula hela kwa mamia wengine wamejaziwa mafuta...kunywa viroba shauri yenu hela mnaliwa nchi haiendi kwa wanunua madaraka...raisi bora atatoka ccm
Poleni ndugu zangu wa CCM, mafuriko ya jana yamewachoma mpaka ku-moyo! Mnatumia nguvu sana kujiaminisha kwamba watu wananunuliwa. Yaani mimi nawafahamu walioenda kwa mapenzi yao kabisa na hata EL wala watu wake hawawafahamu. Hapa unaongea hivyo ila kiongozi wako wa chama wanakuna vichwa.
 
Na CCM yale mafuriko ya kumsindikiza mgombea wenu wa Urais mliyanunua? Mwaka huu mtajinyea aisee. UKAWA wataua mtu. Lete ushahidi basi ndio tuendelee kujadili. Km huna shut up your mouth

kweli hii nchi bado sana shule,eti mtu anaenda kusikiliza lowasa? anaongea nini kila dakika lissu ,ni aibu hata nyie mnaomshabikia pengine shule yenu ni ndogo sana kuriko hata mzee wenu maana haiwezekani msomi kabisa eti anasikiliza lowasa lazima wakupime akili

bor huyu msemaji aliweza kusimama na akasema anachokiamini kama msemaji lakini ni aibu kwa taifa lenye wasomi unaomba nafasi ya juu kila mara unaomba msaada kwa lissu ni aibu kuriko hata ya huyo uliyemtolea mfanoila kama shule imekupita pembeni basi lazima utoe mifano kama hiyo

Kwenye red humo, je ilikuwa kweli anachokisema au upotoshaji? Yale yale waliokariri jipe moyo utashinda
 
Mlikuwa kimyaaaa toka jana, nafikiri kuna mahali mlikuwa mnafundwa jinsi ya kuwavunja moyo wana ukawa kutokana na mshtuko mlioupata sasa hivi naona mnakuja na mashambulizi yasiyo na tija. Mmechelewa sana , hapa ni hakuna kulala mpaka kieweke, mwaka huu mtatia akili lazima
 
kweli hii nchi bado sana shule,eti mtu anaenda kusikiliza lowasa? anaongea nini kila dakika lissu ,ni aibu hata nyie mnaomshabikia pengine shule yenu ni ndogo sana kuriko hata mzee wenu maana haiwezekani msomi kabisa eti anasikiliza lowasa lazima wakupime akili

Hata wale wanaomsikiliza na kumshabikia Magufuli wanatakiwa wakapimwe akili. Hamna kitu pale. Amewekwa ili kulinda wizi na ufisadi wa Mkapa na Kikwete
 
Jamaa mmoja kanichekesha sana kutoka Mwanza. Eti baada ya kuona zile picha kachukia kweli. Kisa! Eti jamaa wa Dar wanajifanya wao ndio wanajua kufanya Mafuriko, basi subiri Lowasa aje Mwanza wataona! Watu watatembea na mifuko ya kutemea mate maana hakuta kuwa na nafasi hata ya kutema mate.
Nikabaki nimeduaa!

Ha ha haaa... Mi sijui Ccm wanapata picha gani,yani natamani CCTV zingetuonyesha weweseko lao huko walipo.
 
Asilimia 90 ya Wanachama wa CCM wapo Ukawa, tunajificha tu ndani ya kijani lakini siku ya kupiga kura tutajionyesha hapo hapo.
Ccm lazima wahame nchi.
 
Back
Top Bottom