baracuda
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,266
- 1,357
kwa mtazamo wangu kilichosababisha timu ya arsenal kushindwa kupata matokeo mazuri leo ni kutokumuanzisha alex chamberlein toka kipindi cha kwanza. Sababu ukicheki gemu utaona muda mwingi arsenal walikuwa wanajaribu kupitisha mipira yao katikati na sehemu hiyo ndio stoke walikuwa wengi. Ila kama angeanza alex chambelain anakimbia zaidi pembeni na kupiga krosi naamini angesaidia sana coz back line ya stoke ingetawanyika na kuruhusu mianya mingi kutokea.