Kilichofutikwa ni uvundo

MTU aliye kufa na kuku iliyo kufa kuku au mbuzi anafaida maana anaweza wekwa kwa friji lakini binadamu anatupwa mavumbini
 
Mfalme Sulemani alitafakari sana alikuwa na pesa alikuwa na wanawake wengi alikuwa na hekima lakini alipokumbuka kifo vyote akasema ni ubatili mtupu!!! Akasema haina tofauti na mnyama ambaye naye anakufa
 
Mfalme Sulemani alitafakari sana alikuwa na pesa alikuwa na wanawake wengi alikuwa na hekima lakini alipokumbuka kifo vyote akasema ni ubatili mtupu!!! Akasema haina tofauti na mnyama ambaye naye anakufa
Kuna mahali nilisema maiti ni mzoga, mchangiaji mmoja akasema sikuwa sahihi kusema hivyo
Mwingine kasema maiti ya kuku ina thamani kuliko ya binadamu kwakuwa wakati ya binadamu ikienda kufukukiwa ardhini ya kuku itaenda kuhifadhiwa kwenye friji! Huyu nimemuelewa
 
Yap ni ukweli mchungu!! Ng'ombe akifa nyama watu wanakula kinyesi chake mbolea kichwa supu ya kichwa miguu supu ya kongolo ngozi watu wanatengeneza viatu mikanda... Lakini akifa binadamu thamani hana kila mtu anamuogopa ni kama mzoga tu;!!!
 
all the wonders that I yet have heard,
It seems to me most strange that men should fear,
Seeing that death, a necessary end,
Will come when it will come.

By william shakespear
 
inanisikitishaga sana hiyo mkuu unakuta ndugu wanauwezo tu mkubwa pengine wangejichangisha kama wanavyojichangisha kwenye misiba wangeweza kumsaidia marehemu....lakini kwenye kuugua mtu anajiuguza kwa shida na manyanyaso akifa wanajifanya kugawana majukumu mara huyu atanunua jeneza mwigine atalipia usafiri....dah
 


Noma sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…