Itakua na sabufa ya seapiano na ka TV anako, tayari anaona maisha kayapatia.wew na Equation x ni familia moya si ndio? maana mkishakua na madebe ya mchele na maharage mnaona mshamaliza kila kitu mnafaa kuoa😅
😄😄Itakua na sabufa ya seapiano na ka TV anako, tayari anaona maisha kayapatia.
Sogeza jiko sasa.Nimechukua sola na sabufa ya mkopo kutoka aboda mkuu
Binadamu yeyote akisha shiba, kinachofuata ni kazi ya viungo vilivyo active.wew na Equation x ni familia moya si ndio? maana mkishakua na madebe ya mchele na maharage mnaona mshamaliza kila kitu mnafaa kuoa😅
Huyu atashusha kench kabisa
Mambo kwa ushahidiNina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722
Nimeghairi😬
Haha,Nina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722
Uko vzr na m-baby maneno utawaachia majirani.Elnino inakuja lazima kuchukua tahadhari
serikali inatakiwa iendelee kupinga marufuku ya mitumiaji ya miadaratiNina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722