PostGE2025 Kiliba: Moja ya mkakati wa wanaharakati ilikuwa kutugawa kidini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂
----------------
"Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa tuchukiane kwa sababu ya tofauti ya itikadi zetu za vyama vya siasa." - Amesema Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba.

Huyu sijui alipataje huo uraisi 😂😂
 
Tuliwashtukia zamani sana
Ilikuwa kila anaepinga serikali, alikuwa anatoa video kavaa msalaba mkubwa au kasimama nyuma yake kuna msalaba kama yuko kanisani, haikuwa shida
Lakini walivyoonza watu wamevaa kanzu na baragashia wanatetea serikali, hapo tukaanza kusikia wanatoa mlio kuwa hawa watetezi wa serikali ni wadini.
Na apewe maua yake yule aliesema yuko tayari kukata watu vichwa, maana baada hapo kelele zote ziliiisha
 
Mkata vichwa ndo alizima huu upumbavu
 
Wale wale kasoro tarehe!
Jf tumevamiwa kwakweli!
 
Back
Top Bottom