KILI VS ZAMBIA vurungu kubwa uwanjani

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Mechi imesimamishwa dakika ya 88, kumetokea vurugu jukwaani na polisi wametumia gesi ya machozi, wachezaji waondolewa uwanjani, mabao 1-1.
 
...mkuu Money Stunna njoo huku,vijana wa zzk wamelianzisha teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Kenyata atakuwa amecheka kinoma sana....natamani fast jet angelikuwa pande hizo za kina jomo ....
 
Mechi imesimamishwa dakika ya 88, kumetokea vurugu jukwaani na polisi wametumia gesi ya machozi, wachezaji waondolewa uwanjani, mabao 1-1.
ZAMBIA NAFASI YA TATU: Kili Stars imeshindwa kutamba tena mbele ya Zambia yafungwa kwa jumla ya penati 6-5 baada ya kumaliza kwa sare ya 1-1 muda wa kawaida.
 
Ukisoma mwisho kasema anachafua hali ya hewa ili kuwatoa nje ya mada mkimbizane na udin ambao hakuumanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…