P philipoz Senior Member Joined Nov 10, 2011 Posts 113 Reaction score 50 Dec 10, 2012 #1 TFF wako katika mazungumzo ya mwisho ya kutuliana mkataba na manager wa timu ya taifa ya football ya uganda (Cranes) Mr Chris Mubiru kwa ajili ya kuwafundisha Kili star kwa msimu unaokuja. TFF wamekubali kwamba bila ya Chris Mubiru ushindi itakua ni ndoto kwa watanzania. kwa malezo zaidi gonga hiihttp://queerty-prodweb.s3.amazonaws.com/wp/docs/2012/12/uganda-tabloid1.jpg
TFF wako katika mazungumzo ya mwisho ya kutuliana mkataba na manager wa timu ya taifa ya football ya uganda (Cranes) Mr Chris Mubiru kwa ajili ya kuwafundisha Kili star kwa msimu unaokuja. TFF wamekubali kwamba bila ya Chris Mubiru ushindi itakua ni ndoto kwa watanzania. kwa malezo zaidi gonga hiihttp://queerty-prodweb.s3.amazonaws.com/wp/docs/2012/12/uganda-tabloid1.jpg
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,058 Dec 10, 2012 #2 kutuliana mkataba au kutiliana mkataba ?