T Tulip1005 Member Joined Mar 13, 2013 Posts 38 Reaction score 11 Mar 21, 2013 #1 Habari!! Eti kwenye mashindano ya Kili music awards huwa wanazingatia vigezo gani kuchagua msanii bora wa mwaka?
Habari!! Eti kwenye mashindano ya Kili music awards huwa wanazingatia vigezo gani kuchagua msanii bora wa mwaka?
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,764 Mar 22, 2013 #2 muulize Daimond atakujuza...........,