Kili Music Awards: Countdown to 13th June 2015

Kili Music Awards: Countdown to 13th June 2015

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,233
Zimebaki siku mbili tu ili tuweze kushuhudia mpambano wa Tuzo za Muziki za kili

Mpambano mkali unatarajiwa kati ya Kiba na Dimond

Tukae mkao wa kula.........

Hitmakers hawa wako kwenye upinzani unaohusianishwa na uadui unaotengenezwa na mashabiki wao

Watanzania wataamua nani zaidi katika uwezo wa kupiga kampeni na kukusanya kura.
 
Kweli kabisa atakaemzidi mwenzake kwa kupiga kampeni na kukusanya kura huyo ndo mshindi.
 
Wenye Dstv tuangalie chanel gani na ipo number gani? Nitawawekeeni hapa LiveStream!
 
Wenye Dstv tuangalie chanel gani na ipo number gani? Nitawawekeeni hapa LiveStream!
Mkuu si umeambiwa ITV wanaonesha na ipo ndani ya dstv unless kma unazungumzia dstv za kwenu mbwinde hukooo
 
Back
Top Bottom