Kili Music Award | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kili Music Award

Discussion in 'Entertainment' started by Kichankuli, Feb 23, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, wazo la kuanzisha tuzo hii hapa Tanzani lililetwa na Mwanamziki marehemu James Dandu, sikumbuki mwaka. Kwa sasa tuzo hii imepanuka, kukomaa na kupata umaarufu mkubwa sana ndani na nje ya nchi. Masikitiko yangu ni namna ambavyo waandaaji wa tuzo hizi wameshindwa kuenzi juhudi za marehemu Dandu na badala yake wadhamini ndiyo wamehodhi tuzo hiyo.

  Ushauri wangu kwa Waandaaji ni kwamba wangeweza kubadili jina la tuzo hii ili pia lijumuishe jina la Muasisi wake, mathalani, mashindano yanaweza kujulikana kama Mtoto wa Dandu Kilimanjaro Music Award.

  Nawasilisha kwa maoni toka kwa wadau
   
 2. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Hapo umesema ni vyema muanzilishi akakumbukwa hii itawazindua wa TZ kuwa wabunifu badala ya tabia yetu sasa kulalama
   
Loading...