Kileleni; twafurahi wote

Kileleni; twafurahi wote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,330
Reaction score
829,452
Safari tumeanza wote, tumalize wote basi, sio wewe unawahi kufika unaniacha mwenzio njiani, jitahidi nisubiri tukaze mwendo wote tufike safari yetu pamoja, tufurahi pamoja halafu tujipongeze

Wanaume wengi ni wachoyo au hawana stamina ya kuwaridhisha wapenzi wao, mara nyingi mwanaume akishafika climax hajali tena kuhusu mwenzie..kama wewe ufurahivyo kumaliza jua kwamba hata mwenzio naye anahitaji kumaliza pia

Wengi wetu huwaacha wapenzi tu na hamu zao hali inayopelekea usaliti na ugomvi kwenye mahusiano, wengine hugeukia usagaji na wengine huamua kuvunja urafiki
Kama mwanaume jitahidi kumfanya mwenza wako naye afurahi kama wewe mnapokuwa faraghani.hii itakufanya uimarishe mahusiano yenu na kuwa yenye afya na furaha tele
Pesa, magari shopping za nguvu zinaweza kuwa si chochote kama kunako majamboz mwenzio hafurahi...utakuja kumegewa hivihivi unaona
 
Huwa mi nauliza nchukuwe mda gan,nusu saa,20mns ndo utakuwa umefka ili ncje nkakuacha njiani hujafka.Kuna wengne wanakuambia mi nlikuwa nshafka we unachochea tu.Ni mind set tu,na wewe ndo ucontrol game,ucmwache ke ndo acontrol utaishia kamoja 5mns.
 
Tatizo no nyie wenyewe wanawake mna mambo mengi kichwani mnalack concentration mara muwazie nywele zangu zimekaeje MAra huyu jamaa sijui ananipenda Mara ubuyu wa babu ayubu umeisha Mara bifu lako na shogako na mengone meengi hata mwanaume akatike huu chini masaa mawili hufiki kilele wanaume wengi wana focus wakati wakudoo ndo mana wengine huwa marage ya mbeya na wengine kisamvu tukija kwny g spot kila demu ya kwake iko tofauti inahitaji shule kuijulia bila kuigusa hiyo haufiki kilele so ni vyema ukawa unamweleza mwenzio kama ameigusa na si kupiga kelele tu
 
Huwa mi nauliza nchukuwe mda gan,nusu saa,20mns ndo utakuwa umefka ili ncje nkakuacha njiani hujafka.Kuna wengne wanakuambia mi nlikuwa nshafka we unachochea tu.Ni mind set tu,na wewe ndo ucontrol game,ucmwache ke ndo acontrol utaishia kamoja 5mns.

Hahahaaaaa uuuuuwiii Jumamoc hii tamu jamani
 
Tatizo kwetu wanaume,tuna mastress kibao,msosi wenyewe chips, huna mazoezi yoyote ya mwili,matokeo yake unakosa pumzi/stamina, dk 2 za game ushamwaga mzigo.kwa hali hiyo hamuwezi kufika safari pamoja.
 
navip km nikifika afu nkamchezea kile kidude mpka amwage coz kautafiti nilikofanya wasichana asilimia kubwa awafiki kileleni kwa kutumia dushelele lkn ukmchezea critolis kwa kidole ni rahis japo pia mkono huchoka na kuuma
 
Hiyo nzuri pia akimaliza wee ndo unajitosa sasa haichoshi
 
navip km nikifika afu nkamchezea kile kidude mpka amwage coz kautafiti nilikofanya wasichana asilimia kubwa awafiki kileleni kwa kutumia dushelele lkn ukmchezea critolis kwa kidole ni rahis japo pia mkono huchoka na kuuma

Uwe makini vidole visafi? kucha umekata? Risk ya mikwaruzo na HIV
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom