Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani katika Picha

Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani katika Picha

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
261
Reaction score
296
C01.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025.
C2.jpg

C4.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi ya Tuzo ya Mazingira kwaajili ya Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambuamchango wake katika uhifadhi mazingira na uhamasishaji wa matumizi yanishati safi ya kupikia Kitaifa na Kimataifa. Tuzo hiyo imetolewa wakati waMaadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Kituocha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025.
C6.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi tuzo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na MichezoMhe. Prof. Palamagamba Kabudi kufuatia mchango wake katika uandishi waSheria ya Mazingira. Tuzo hiyo imetolewa wakati wa Maadhimisho ya Siku yaMazingira Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025
 
Back
Top Bottom