Nami nimejionea mwenyewe na Waziri kasema, Taarifa hizi ameambiwa na mkurungezi wake muda mfupi kabla ya kuingia mjengoni.
Nashukuru Waziri kakiri kuwa yeye hawezi kupingana na mbunge wa sehemu husika ila baada ya bunge watakwenda wote kujionea uhalisia. Inaonekana MAJIBU YA MJENGONI MENGI NI YA UONGO
Hajaambiwa athibitishe kwa maandishi kama wanavyoambiwa wabunge wa CDM?
ingekwa Chadema angeambiwa thibitisha!!!Hilo ndiyo tatizo kuu la bunge letu - spika na wenzake wanaongoza bunge ki chama zaidi na si kama taasisi huru ya kitaifa ya kutunga sheria.
Mama kathibitisha kabisa kwamba n/waziri kasema uongo kwa kutoa miradi miwili, mmoja ulifadhiliwa na watu kutoka uarabuni na yeye mwenyewe Kilango akaweka umeme but serikali ikasema maji hayafai kwa matumizi ya binadamu.mimi najiuliza hivi hakuna upembuzi yakinifu unaofanywa ilikujua kama sehem hii maji yake yanafaa na si kungojea mpaka mradi unakamilika then unakataliwa, huu si upotevu wa fedha za wafadhili?Huyu Mama angekuwa ni wa kutoka upinzani LAZIMA angetakiwa atoe uthibitisho kwa maandishi haraka vinginevyo angetolewa nje.Swala la waziri kukiri kwamba hana taarifa zaidi ya mbunge husika lisingekuwepo kabisaa.
Kilaza Lukuvi hakuomba mwongozo wa bibi Kiroboto?
<br />Mama kathibitisha kabisa kwamba n/waziri kasema uongo kwa kutoa miradi miwili, mmoja ulifadhiliwa na watu kutoka uarabuni na yeye mwenyewe Kilango akaweka umeme but serikali ikasema maji hayafai kwa matumizi ya binadamu.mimi najiuliza hivi hakuna upembuzi yakinifu unaofanywa ilikujua kama sehem hii maji yake yanafaa na si kungojea mpaka mradi unakamilika then unakataliwa, huu si upotevu wa fedha za wafadhili?
<br />
<br />hayo maji yana nini?
Saafi kabisa, mtiririko ulioueleza ni mzuri kabisa kimantiki. tatizo ni kwamba, mtiririko kama huo hauwahusu wabunge wa "upinzani". ajenda ya ccm ni kuwafanya wabunge wa "upinzani" waonekane watu wa vurugu, kuwazima kabisa wasijenge hoja zao, au wasifike mbali.Asinge weza kuomba kwa sababu n/waziri kakiri kuwa taarifa alizopewa na mkurugenzi zinaweza kuwa si za kweli,ila ameomba waongozane na mbunge kwenda kuangalia hiyo miradi.jamaa kaonesha ukomavu kwa kukiri kudanganya na hii inatokana na kupewa taarifa za uongo na watendaji wake.