‘Dar Es Salaam’ inawenyewe ni kuelewa tuu, kumbe humu JF kuna genge la mataahira kweli wenye uelewa mdogo.
Best wa Abdul ni mtoto wa ‘mama Tabia’ jina lake kapuni; shida yenu moja. Kwanza mna akili za kijinga sana na mko tayari kuumiza watu kwa sababu rahisi sana.
Ndugu mimi nawatukana tu CCM sio kwamba huko juu hawanijui. Lakini sio taahira kama wewe.
Tofauti yetu ili wewe uwe relevant ni kujifanya unanijua mimi kwa boss wako. Wakati mimi nina connection ya kunipa nafasi iliyo juu ya uwezo wako na sihitaki.