we huhofii vijana wenu wanavyodanganywa na waarabu na kujiunga kwenye vikundi vya ugaidi, ili wakawasaidie kupambana na wazungu wakati vijana wa kiarabu wameshindwa vita na wangali wanajua haiwezekani kumshinda mzungu. na Waarabu wamebakia wanachimba mafuta waliyoneemeshwa kwenye nchi zao na kuyauza kwa haohao wazungu (deal ju ya deal)na kijitajirisha na kwenda ulaya kufanya matanuzi, kununua timu na kula maisha, huku wakiwahamasisha vijana wenu kukaza msuli na kupigana na wazungu, na wanawapa silaha duni kwakuwa hawana silaha za maana, Sasa kama dada zenu wamebaki peke yao nyumbani nani atawaoa kama vijana wenu wako arabuni wakipigana vita ambayo watashindwa mwishowe?Nyie ndio Israel sympathiser.
Dada zenu wanaharibiwa vizazi nyie mnapiga vigelegele na kuwasifu wayahudi.
Mnasahau kuwa hata yule mnaemuabudu aliuwawa na hawa watu.
Shame on you all.
ha ha ha ha , usitake ncheke.. matiti, ndo nani nyonyo ndo nani.. anywa. nyonyo ni lugha ya kitoto, kwakuwa ananyonya.hivi matiti, manyonyo, na maziwa ni sawa?
mbona muafrika mweusi anajiita mohammed? zingatia akina Ehud hawakuwahi kututawala watu weusi kamwe, lakini kina mohammed walitufanya watumwa wao na mpaka leo neno la kiarabu la kusema mtu mweusi ndilo hilo hilo la kusema mtumwa..."Abid!"
Mkuu hii speech inakwenda sambamba kabisa na matukio wanayofanyiwa Watu weusi na waarabu huko ISRAEL.
Hebu tazama mfano huu halafu uone je! Huyu netanyau anasingiziwa?
http://www.timesofisrael.com/clippers-owner-black-jews-treated-like-dogs-in-israel/
Na hapa wamefikia mpaka KUHARIBU UZAZI kwa wanawake WEUSI wanaoishi huko.
http://truthtellers.org/alerts/IsraelAdmitsBirthControlonBlackJews.html
Dash...naona huyu mtemi isike ameuharishia Uzi name kufanya with tushike pua.
On a kinachoendelea hapa. Yaani inaonekana jamaa no lichafu na halina ustaarabu....grrrrrrrrr
Mataifa yanayounda BRiCS(BRazi, Russia, India, SOuth Africa) nayo yameshafikia mwafaka wa kuanzisha benki yao. Benki ambayo imetarajiwa kuanza kukopesha ifikapo 2016. Benki yenyel engo la kuwa juu ya utawala wa World Bank na IMF(zenye kumilikiwa na Ulaya na marekani).
Naomba kuuliza wadau: Hivi huu mpango wa waarabu, kuendesha benki bila kutoza riba, una mashiko, Na Nini manufaa ya benki? wanapataje faida?. Au ndo benki kanjanja? Au unatokana na Waarabu kulewa Pesa ya mafuta? Is it possible.
![]()
http://l.yimg.com/bt/api/res/1.2/jE...MADP_BASEIMAGE-960X540_WORLD-BRICS-BANK-O.JPG
The long-awaited bank is the first major achievement of the BRICS countries - Brazil, Russia, India, China and South Africa - since they got together in 2009 to press for a bigger say in the global financial order created by Western powers after World War Two and centered on the International Monetary Fund and the World Bank
Aliyekufanya mtumwa wewe mtu mweusi ni yule aliyekwambia kwenye kitabu chake kiitwacho BIBILIA KUWA.
1 PETRO 2:18
-Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.-
WAKOLOSAI 3:22
22-Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote.
1 TIMOTHEO 6
Wo wote walio chini ya kongwa, hali ya utumwa, na wawahesabie bwana zao kuwa wamestahili heshima yote.
Na mwisho MNAAMBIWA Eti MKITUMIKISHWA na Mkawa na ADABU mnamfurahisha MUNGU!
TITO 2 :9-10
9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,-
10-wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.-
MUNGU ANAAMRISHA UTUMWA????!
Leo MZUNGU yuko kwao anawafunga uzazi Wanawake WEUSI Na Kuua WATU OVYO!
wewe unampapatikia na kumuona wa maana.
Ama kweli Wajinga ndio wali wao.
Unataka utuambie mwarabu ndiye aliye-abolished Utumwa kwa mtu mweusi?Aliyekufanya mtumwa wewe mtu mweusi ni yule aliyekwambia kwenye kitabu chake kiitwacho BIBILIA KUWA.1 PETRO 2:18-Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.-WAKOLOSAI 3:2222-Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote.1 TIMOTHEO 6Wo wote walio chini ya kongwa, hali ya utumwa, na wawahesabie bwana zao kuwa wamestahili heshima yote.Na mwisho MNAAMBIWA Eti MKITUMIKISHWA na Mkawa na ADABU mnamfurahisha MUNGU!
TITO 2 :9-109 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,-
10-wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.-MUNGU ANAAMRISHA UTUMWA????!Leo MZUNGU yuko kwao anawafunga uzazi Wanawake WEUSI Na Kuua WATU OVYO!wewe unampapatikia na kumuona wa maanaAma kweli Wajinga ndio wali wao.
Unataka utuambie mwarabu ndiye aliye-abolished Utumwa kwa mtu mweusi?
Kwa mujibu wa tafsir ya kifrimanson Mkrisot atakuwa mtumwa lakini kwa tafsiri ya ukombozi wa kristo.utumwa hakunaMtu gani mweusi?Kama ni mkristo basi ajue kuwa kwa mujibu wa BIBLIA YEYE BADO NI MTUMWA!Na Anatakiwa amtii na kumuheshimu ANAEMTUMIKISHALbd aamue kwenda kinyume na Andiko.
Kwa taarifa yako wewe utakuwa mtumwa kwakuwa unamsaidia Mwarabu amshinde mzungu, unajiingiza kwenye vita isiyokuhusu kwakudanganywa na maandiko usiyoyaelewa hata lugha yake. Unavaa kiremba usoni na hijabu ili usionekane sura yako kama ni mweusi. manake mwishowa siku ..and that blacks should be left to die if injured, and should be denied intercession and entrance to heaven (Bukhari: Volume 4, Book 52, Number 137).
Ukimtii baba yako mzazi unakuwa mtumwa sio, ukitii sheria za serikali kwako ni utumwa sio.Kutii uongozi uliopo ni utumwa sio. ndio maana umeona bora ukapigane jihadi ili utumwa uondoke. Unapoteza nguvu mali na akili kwa kufanya vitu kinyume na maendeleo kisha unajiona sio mtumwa. We ni mtumwa ndio maana lazima uwanyenyekee waarabu maisha yako yote, wewe ni mtumwa ndio maana lazima uendelee kutazama kaskazini kwa walikobarikiwa (waarabu)kuliko wewe.Naona ujumbe umeshaingia patakikanapo!Umeanza kuandika km huna macho!
Sasa hicho kitu ukiitacho "KIREMBA" nikijifunika USONI" nikatembea si ntaanguka!? Au kina matundu ya macho?Na hayo maneno yako hapo juu umetoa kichwa kwako kulikojaa mbege ya juzi!Aliyekwambia WEWE UWE MTUMWA sio mimi, Bali NI YESU KWENYE AGANO JIPYA.Kwa hivyo KAMA wewe UNAJIITA MKRISTO basi HUNA BUDI KUKUBALI KUWA MTUMWA!Tena mnaambiwa MUWATII MPAKA WALE WAKALI KABISA wanaowatiaga BAKORA (WAZUNGU) MAKABURU na Wengineo!PETRO 2:18-Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.-
WAKOLOSAI 3:2222-Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote.1 TIMOTHEO 6
Wo wote walio chini ya kongwa, hali ya utumwa, na wawahesabie bwana zao kuwa wamestahili heshima yote.Na mwisho MNAAMBIWA Eti MKITUMIKISHWA na Mkawa na ADABU mnamfurahisha MUNGU!TITO 2 :9-109 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,-10-wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu wema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.-Na hio TITO 2:10 inawaambia nyie haga Ule mchezo wenu wa Kudokoa dokoa kwa MABWANA ZEJU PIA MKOME.MUNGU ANAAMRISHA UTUMWA????!Ama kweli akili ni mali.
Dash...naona huyu mtemi isike ameuharishia Uzi name kufanya with tushike pua.
On a kinachoendelea hapa. Yaani inaonekana jamaa no lichafu na halina ustaarabu....grrrrrrrrr
Andika kiswahili mkuu.
Unatuchanganya na hicho kihutu.