UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 327
- 421
Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
Stop that nonsense, hakuna cha sala, ni kwenda msituni, sala hazikufikishi popote. CCM sala kwao si kitu. Desmond Tutu , Ndabaning sithole ni makasisi hawakutegemea sala bali mapambano phisicallyUnapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
Sasa kama unataka tuingie msituni umejiandaa??? Ushawahi fanya ushawishi kwa wananchi ili kila mmoja awe aware?? Au msituni humu humu kwenye mitandaoS
Stop that nonsense, hakuna cha sala, ni kwenda msituni, sala hazikufikishi popote. CCM sala kwao si kitu. Desmond Tutu , Ndabaning sithole ni makasisi hawakutegemea sala bali mapambano phisically
Kunusuru nchi na machafuko ni kutenda haki tu. Hivi vya kuwatendea watu mabaya alafu mnatuomba tusali kuepusha machafuko ni kutufanya mafala.Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
Hii point,kwa Tz hakuna msitu mwingine zaid ya mtandaoniSasa kama unataka tuingie msituni umejiandaa??? Ushawahi fanya ushawishi kwa wananchi ili kila mmoja awe aware?? Au msituni humu humu kwenye mitandao
Haki??? Ushawahi kudai haki yako Manual?? Tanzania ni nchi Ambayo Raia wake wanatabia na hisia za huruma na kusamehe hata kama umeumizwa sana, tunawathamin sanaa hawa viongoziiKunusuru nchi na machafuko ni kutenda haki tu. Hivi vya kuwatendea watu mabaya alafu mnatuomba tusali kuepusha machafuko ni kutufanya mafala.
Unaongea vitu gani wewe?Haki??? Ushawahi kudai haki yako Manual?? Tanzania ni nchi Ambayo Raia wake wanatabia na hisia za huruma na kusamehe hata kama umeumizwa sana, tunawathamin sanaa hawa viongozii
Ndiyo tuanze kuuza wazo.... 😀 😀 😀 😀Sasa kama unataka tuingie msituni umejiandaa??? Ushawahi fanya ushawishi kwa wananchi ili kila mmoja awe aware?? Au msituni humu humu kwenye mitandao
Ni majinga tu hayaoni kesho yao, mazuzu matanzaniana hisia za huruma na kusamehe hata kama umeumizwa sana, tunawathamin sanaa hawa viongozii
Tuanze na msitu wa Mabopande upande wa Dr Ulimboka, mbona pako fresh tu,tutoke huku mitandaoni twendeni site!!!Hii point,kwa Tz hakuna msitu mwingine zaid ya mtandaoni
Mkuuu salute umeongea jambo kubwa.S
Stop that nonsense, hakuna cha sala, ni kwenda msituni, sala hazikufikishi popote. CCM sala kwao si kitu. Desmond Tutu , Ndabaning sithole ni makasisi hawakutegemea sala bali mapambano phisically