Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,262
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.

Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????

Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.

Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.

Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk

NB: BE marufuku kuchangia hapa
 
:confused2::confused2::confused2:
 
Hayo maneno yoote uliyotaja ni ya kitapeli njoo Sinza utapata hata ambayo huyajui, kazi ikiisha unatolewa nduki.
 
Ha ha ha sasa hivi siwezi kuja huko yupo anayeyatekeleza.

BTW: Najua yapo kibao nimetaja machache tu
 
To my experience hiyo ni tabia ya wanawake wote, siyo wewe tu DA, kama watakuwa wakweli wataandika hapa.. mnataka hata mnapofanya kosa msiambiwe kwa ukali... duu mapenzi kazi kwelikweli..:A S 13:..
 
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.

Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????

Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.

Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.

Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk

NB: BE marufuku kuchangia hapa

Honey, mahbuba, cassava ...
 
Dena Amsi. Kama nilikuona ngomani mkuranga vile (kilemba chako) :A S 13:
 
Je wewe umeshawahi kubembelezwa ,mama kama kuna nafsi ya kudeka shurti udeke mwanamke ,shurti ubembelezwe DA hayo ndo mapenzi yanyewe ,hakuna ubaya hata kidogo
 
To my experience hiyo ni tabia ya wanawake wote, siyo wewe tu DA, kama watakuwa wakweli wataandika hapa.. mnataka hata mnapofanya kosa msiambiwe kwa ukali... duu mapenzi kazi kwelikweli..:A S 13:..

Kumbe afadhali nilkikuwa sijui
 
Je wewe umeshawahi kubembelezwa ,mama kama kuna nafsi ya kudeka shurti udeke mwanamke ,shurti ubembelezwe DA hayo ndo mapenzi yanyewe ,hakuna ubaya hata kidogo

Hebu pata hii kitu hapa chini:

The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendoooo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendoooo
Je wewe ushawahi, kubembelezwaa
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwaaaaaaaa. dedication to you mylv
 
Muwe mnafanya hivyo na nyie basi
 
Soma hapo chini

The Following User Says Thank You to Gaga For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Muwe mnafanya hivyo na nyie basi

Tunafanya saaana tu sie tuliofundwa basi tu huwa hamzikubali, mi napenda pale tumegombana ugomvi mkubwa halafu nabembelezwa jamani, halafu mnaishia mahala fulani, halafu mi naendelea tu kulia haieleweki nalilia ugomvi au muendelezo. mhhhh mapenzi matamu jamani
 
Je wewe umeshawahi kubembelezwa ,mama kama kuna nafsi ya kudeka shurti udeke mwanamke ,shurti ubembelezwe DA hayo ndo mapenzi yanyewe ,hakuna ubaya hata kidogo
Mhhhhhh!!! Naona hata mimi maana yule anadeka kweli sijui ndivyo ulivyomlea l.o.l
 
Tunafanya saaana tu sie tuliofundwa basi tu huwa hamzikubali, mi napenda pale tumegombana ugomvi mkubwa halafu nabembelezwa jamani, halafu mnaishia mahala fulani, halafu mi naendelea tu kulia haieleweki nalilia ugomvi au muendelezo. mhhhh mapenzi matamu jamani
Ahaaaa ahaaaa leo nikirudi home lazima nikuanzishie ugomvi tugombane halafu tuishe hapo ulipopasema
 
Back
Top Bottom