Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

Nionavyo mie ana matatizo ya kisaikolojia hivyo basi atakuwa anahitaji msaada mkubwa sana .
anatakiwa ajue kwa nini anawachoka wanaume?
anatakiwa ajue kwa nini akiwa katika mahusiano ni muda mfupi anachoka hayo mahusiano?
anatakiwa ajue hakuna siku atampata yule aliye perfect?
Atulize hako kadude kake...
 
muhishimiwa biggy najibu tafadhali...............
hahahaaa lol!!!

Nothing wrong....ila kuwa sober ni usumbufu....i can't see the lines, let alone read behind/in between them!
will help unsober u!!!

:closed_2::closed_2::closed_2:

ulikuwa unatafuta nn kwani biggy??? me dont do bana na hakijapotea wala nn!!! hii theory nahisi ilikuwa kwa wafuasi wa infidelity
 
Huyo dada ana jini mahaba. Sijui atakuwa na wanaume wangapi hadi atakapozeeka. Halafu jini hili husababisha azae watoto wa baba tofauti tofauti. yaani akiwa na watoto wanne na idadi ya baba ni hivyo hivyo. Anatakiwa akemewe haraka sana pepo hilo litoke.
Yaani huyo alivyo hata akijiforce akae na mme mmoja, lazima atakuwa na mme wa pembeni tu na atakuwa akichange every two years. NOTHING BUT PRAYERS
 
Huyo kweli ana tatizo kubwa na anahitaji msaada mkubwa kutoka wataalamu wa mambo ya mapenzi.
 
huyo bado sana!mwacheni aendelee ku-wanga huku na kule!....

pole yake atakaemuoa maanake atakuta hadi ile theory ya ELASTICITY imeshakuwa ''nullified''!atakutana na bwawa sijui kisima ai doo noo

ehhh
 
heheheheheh!! romantic love! Jamani hizo ni ndoto za kusadikika.Kwanza hata yeye mwenyewe hiyo nguvu na muda wa kubakia kwenye romantic mode miaka atatoa wapi? mwambieni come back to earth!

Kweli WOS sasa romance gani hiyo ya miaka...mie navyojua watu hatutafuti romance tunatafuta companionship...
 
1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.
 
1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.
AMfikishe wapi sasa?
 
1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.

katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??
 
Noname,
Kuna swali nataka kumrushia FL1 aliyeanzisha mada.Sijui kama aliwahi kumuuliza huyo binti wa miaka 25-27 kuwa siku akifika miaka 27x2 = 54 bado atatafuta romantic love? Na je kama hakuwa na mwenzie akavumilia kuwa naye hadi wakajenga mapenzi yakapevuka na kuwa undugu, atakuwa mgeni wa nani? Tena akifikia miaka 35 kama kuna mtu atampa " hi" ashukuru Mungu maana kama asemavyo Fidel ( japo huwa nampinga kwa nguvu zote) ndio wanaitwa " used beyond recycling"......
 
katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??

kwa mawazo yangu ni wanawake wachache sana na wanaume wachache pia wenye '' THE RIGHT PERSON'' inategemea yukoje na anataka nini.
 
WOS huyo binti nahisi hajui ujan ani moshi ukienda haurudi...........anajua kila siku akipita watu wataendelea kuvunja tu shingo na kujikwaa n akuota manundu kama NN!!!
 
katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??
wooooooooooooooote WANGAPI MAMA!nikiisoma sredi naona kama ni engagement tatu tu!na wanaume tuko weeeeeeeeeeeeeeeengi sana.....!may be kuna listi ingine hujaidisplei hapa!

BACK TO UKWELI SASA:kinachonisikitisha ni kwamba huyo mwanadafada aliweka bond ''kitumbua''
 
WOS huyo binti nahisi hajui ujan ani moshi ukienda haurudi...........anajua kila siku akipita watu wataendelea kuvunja tu shingo na kujikwaa n akuota manundu kama NN!!!

BHT,
YAANI umeongea kitu kikubwa sana.... jana tu nilikutana na bi dada mmoja ambaye enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali! Kipindi hicho tena alikuwa kaolewa lakini alikuwa hashikiki..... mumewe mwenyewe alikuwa hakohoi kwake! Nilipomuona jana kwanza sikumtambua hadi nilipomuangalia mara mbili sura ikanijia.NILISHTUKA kusema kweli maana alikuwa kachooka! Alikuwa anaonyesha kuumwa sana. Mwili umetepetaaaa.... urefu aliokuwa nao kapindaaaa.... macho yamelegeaaa.. nilishtuka sana nikasema " ama kweli hujafa hujaumbwa!" Kuna kuzeeka lakini ule wake nadhani ni shauri ya kuzidisha kutafuta romance! Mwili ukawa umepelekeshwa arijojo hadi ...... sina hata la kusema.

Kwa warembo wote hapa JF...... JAMANI mjue kuna leo na kesho..wekeza uzuri/ulimbwende wako kwa siku zijazo ili usijifuje ukabaki kuwaacha watu wakihadithia " enzi zake alikuwa mrembo sana msimuone vile"...ZEEKENI GRACEFULLY! Kwani si tunaona watu wakizeeka na kubakia warembo? Mnadhani ni kwanini?
 
Noname,
Kuna swali nataka kumrushia FL1 aliyeanzisha mada.Sijui kama aliwahi kumuuliza huyo binti wa miaka 25-27 kuwa siku akifika miaka 27x2 = 54 bado atatafuta romantic love? Na je kama hakuwa na mwenzie akavumilia kuwa naye hadi wakajenga mapenzi yakapevuka na kuwa undugu, atakuwa mgeni wa nani? Tena akifikia miaka 35 kama kuna mtu atampa " hi" ashukuru Mungu maana kama asemavyo Fidel ( japo huwa nampinga kwa nguvu zote) ndio wanaitwa " used beyond recycling"......

Dada sijawahi kumuuliza lolote juu ya mahusiano yake ..ila nilikuwa namshangaa pasipo kumuuliza mbona alikuwa na K wameachana yuko na Pweza ,kesho T ..bahati mbaya au nzuri akaropoka mwenyewe nami nikajikuta nauliza anajiskiaje ku-change wanaume kama nguo ..jibu lake ndio hilo huwa anawachoka..
Labda hii iwe Assignment nyingine tena ...
 
wooooooooooooooote WANGAPI MAMA!nikiisoma sredi naona kama ni engagement tatu tu!na wanaume tuko weeeeeeeeeeeeeeeengi sana.....!may be kuna listi ingine hujaidisplei hapa!

BACK TO UKWELI SASA:kinachonisikitisha ni kwamba huyo mwanadafada aliweka bond ''kitumbua''
engagement iko more than three Teamo mbona wengi hao ? sijui mitarimbo yao wote imelala doro au utendaji kazi na upendo ni hapa?
 
Back
Top Bottom