sasa hii expirience umeitoa wapi?mwanafunzi
Kuna mashetani Wengine mibuyu yao ilisha ng'olewa...sasa yapo wandering mitaani
Hivi unajua kuwa dodoma kuna mibuyu mingi sana mkuu The Boss!!!
Kwa mfano huu ambao naona unaungwa mkono na watu wengi sishangai hao mashetani walitoka mibuyuni na kuwaingia wabunge wa bunge maalum la katiba, tafrani ni pale mashetani kutoka mibuyu ya ccm inayopatikana chimwaga na chamwino ni meeengi ajabu na kwa kukamilisha ushetani wao wanataka mjadala wa katiba utokane na rasimu ya mashetani.
WENYE AKILI ZAO WAMESEPA.
HII NI KUTOKANA NA "SHETANI NA MBUYU WAKE"
Umepotosha umma,unaposema kila shetani na mbuyu wake hatumaanishi kwa kuangalia vitu vichache kama we umeangalia katika swala la kipato,ni vema ungesema kila mtu atafute mke/mume wa hadhi yake hii inateta maana.