Swali ni kuwa hii akili ya kuthubutu kufanya haya inatoka wapi?? maana achilia mbali wahamiaji kama hawa, lakini kuna nchi ambazo kikatiba hazina dini! kama Tanzania, lakini cha ajabu hata kwenye hizo nchi bado tunalazimisha wengine waguate tutakavyo sisi! je kuna mtu anajua misingi ya dini yetu hii, maana naanza kuwa na wasiwasi ati!
Tuna tatizo?? kwa nini sisi kila sehemu??
Swali ni kuwa hii akili ya kuthubutu kufanya haya inatoka wapi?? maana achilia mbali wahamiaji kama hawa, lakini kuna nchi ambazo kikatiba hazina dini! kama Tanzania, lakini cha ajabu hata kwenye hizo nchi bado tunalazimisha wengine waguate tutakavyo sisi! je kuna mtu anajua misingi ya dini yetu hii, maana naanza kuwa na wasiwasi ati!
Nyinyi kina nani?,
Australia kuna Waislamu ambao ni Waaustralia kiasili, acha wahamiaji kama wale kutoka Indonesia, Malaysia na sehemu nyingine duniani. Sasa hawa Waaustralia Waislamu waende wapi?, na pia kudai chochote cha Uislamu ndani ya nchi yao ya asili ni kosa?. Nadhani wanatakiwa kujibiwa matakwa yao kwa hoja na si vitisho na kejeli.
Nafikiri hapa ni obvious anazungumzia WAISLAM
Na kutokana na habari hapo juu.....wanaohusika hapa ni IMMIGRANTA sio Australians.....see below;
'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture.
Nyinyi kina nani?,
Australia kuna Waislamu ambao ni Waaustralia kiasili, acha wahamiaji kama wale kutoka Indonesia, Malaysia na sehemu nyingine duniani. Sasa hawa Waaustralia Waislamu waende wapi?, na pia kudai chochote cha Uislamu ndani ya nchi yao ya asili ni kosa?. Nadhani wanatakiwa kujibiwa matakwa yao kwa hoja na si vitisho na kejeli.
NL, nilisoma hilo,ndio nikauliza kuwa ndani ya Australia kuna Waislam ni Waaustralia kiasili, sio wahamiaji. Na hawa jee wakidai haki zao za Uislamu wataambiwa waende wapi?. Ndio nikasema mtu anapodai kitu hujibiwa kwa hoja na si vitisho na kejeli.
Hapo juu ulikuwa na maana gani?Hii mada ni ngumu maana unaweza kuwa buned anytime.
Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..
Separately, Rudd angered some Australian Muslims on Wednesday by saying he supported spy agencies monitoring the nation's mosques. Quote:
'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture. Since the terrorist attacks on Bali , we have experienced a surge in patriotism by the majority of Australians. '
'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'
'We speak mainly ENGLISH, not Spanish, Lebanese, Arabic, Chinese, Japanese, Russian, or any other language. Therefore, if you wish to become part of our society . Learn the language!'
'Most Australians believe in God. This is not some Christian, right wing, political push, but a fact, because Christian men and women, on Christian principles, founded this nation, and this is clearly documented. It is certainly appropriate to display it on the walls of our schools. If God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'
'We will accept your beliefs, and will not question why. All we ask is that you accept ours, and live in harmony and peaceful enjoyment with us.'
'This is OUR COUNTRY, OUR LAND, and OUR LIFESTYLE, and we will allow you every opportunity to enjoy all this. But once you are done complaining, whining, and griping about Our Flag, Our Pledge, Our Christian beliefs, or Our Way of Life, I highly encourage you take advantage of one other great Australian freedom, 'THE RIGHT TO LEAVE'.'
'If you aren't happy here then LEAVE. We didn't force you to come here. You asked to be here. So accept the country YOU accepted.'
Maybe if we circulate this amongst ourselves, WE will find the courage to start speaking and voicing the same truths.
Tuna tatizo?? kwa nini sisi kila sehemu??
Waberoya,
You seem to have something hidden in your mind....please speak it all man it's your right!
Wakuu huyu jamaa aliyemwaga hiyo kitu alishawahi kuwa JF member nini? Kwa kuwa he/she dares to speak openly without any Kunyanzi. Mimi hata sijui ametoa wapi hizo Guts. Anyways watu na nchi zao!!!
Utakuwa nabii wewe! wakati mwingine kusema visivyosemeka ni ngumu, hujasikia yaliyompata mwinyi? ni wa kundi letu, ni wa kwetu, lakini kibao kikatoka mbele ya watu, wakasema bangi, kwa nini bangi imfuate mwinyi??
kwa sababu umeanza vizuri ebu otea nataka kusema nini hapa? I mean kwa hali tete ya taifa letu lisilo na dini, limegubikwa na matatizo yote, ila dini inafunika hayo matatizo yasionekane, kana kwamba tukisolve haya ya dini basi mengine yote tumesolve...naona kama nimeanza
Ni waziri mkuu huyu wa Australia, nadhani Mods, wawasiliane naye, tumpe umemba wa kudumu na wa heshima-" Honorary membership" halafu pengine kupitia haya maamuzi yake- JK atasikia,
Mkuu Wabe,
No!no!no! siwezi endelea kuotea unachotaka /ulichoanza kusema ndugu yangu! Km mwinyi wa ''kwenu'' watu wamemsulubisha hivi, na je nikisema mimi.....ooooh no! Anyway infact umeshasema yote hapo....lkm nakuonya usijzabwa vibao ngugu!