20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jan 30, 2015 #1 Mimi nahisi watu wasingetega kwenda ofisini, kutoroka na kuchelewa kufika kungepungua Attachments 1422641787610.jpg 26.1 KB · Views: 2,050
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Jan 31, 2015 #2 Naona koo linaita wanipe tusker ya baridi
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 31, 2015 #3 teh teh namba 2 ingekuwa inaisha kila dakika
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 31, 2015 #4 Ulevi wa madaraka
Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Jan 31, 2015 #5 Nimgekuwa nawahi sana kazini
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Jan 31, 2015 #6 Job sikosi aiseeee ikipanda kichwani sawa sawa nadilute na maji ya kutosha .... Figo halipati shida hapo
Job sikosi aiseeee ikipanda kichwani sawa sawa nadilute na maji ya kutosha .... Figo halipati shida hapo
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 31, 2015 #7 Bosi asiwe kicheche... zikipanda zitamshawishi mengineo...