fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,675 Reaction score 9,250 Dec 25, 2024 #1 Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,516 Reaction score 5,451 Dec 25, 2024 #2 Shida uanzia kuwapata, maana wengi wamezalishwa Kuanza moja bila ni tatizo afu upande wapili unakuta nahawa wa elfu 2 ndio full mchanganyo ukiweka mguu yeye anatoa
Shida uanzia kuwapata, maana wengi wamezalishwa Kuanza moja bila ni tatizo afu upande wapili unakuta nahawa wa elfu 2 ndio full mchanganyo ukiweka mguu yeye anatoa
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,309 Reaction score 2,863 Dec 25, 2024 #3 Ubandani kuna raha..jaribu wa buku buku utannishukuru siku moja