Nitakulilia maisha yangu yote, you are the hero!
Kafanyaje jamani??
Nitakulilia maisha yangu yote, you are the hero!
Msikie huyu upo kiimani niniAcheni huu ujinga...hutaki kuamini kuwa yeye ndio katuachia huu Mkosi?
We ni miongoni kwa wale mliokuwa mmezoea kukaa kijiweni na ofisi zenu za mfukoni, mkiulizwa mnasema eti mjini nipango. Zilipendwa hizo!!.. Hizi ni za Magufuli si za Jakaya.Ukiwa kiongozi huwezi kujua ugumu wa maisha kwa sababu unaishi kwa kodi za walala hoi. Huwezi kuja kuniambia eti kiongozi wa nchi anafanya kazi kubwa kuliko baadhi ya watumishi , hili si kweli.
Watumishi wanateseka na familia zao, lakini viongozi walio madarakani wanapongezana na kufurahia maisha kwa kodi zetu.
Nitakukumbuka sana Dr. Mrisho Jakaya Kikwete, kwani licha ya kuongoza nchi ikiwa na watumishi hewa lakini uliweza kulinda maslahi ya watumishi. Leo hii machozi yananidondoka kwa uchungu pale ninapoona picha yako.
Kweli ulikuwa kiongozi mpenzi wa Mungu, mwenye huruma, mvumilivu, mpole, mwenye hekima na busara. Nakuombea kwa mwenyezi Mungu akupe afya na maisha marefu.
Nitakulilia maisha yangu yote, you are the hero!
Kama hakuna madili na mshahara hautoshi acha kazi, uone umuhimu wa kuwa na kazi.Kwa kweli sijui hatma ya maisha ya kuwa mtumishi wa serikali. Hakuna nyongeza ya maana,hakuna kupanda vyeo sasa sijui wanafikiria nini hawa viongozi wetu wa juu?
Si ulipewa pande na uncle wako? Nenda kamwambie pia wanaachaje kazi? Atakuelekeza wala usiwe na wasiwasi.Wanaachaje kazi ,nielekeze
Nadhani, ili upande cheo kuna taratibu zake. Hawatoi kama zawadi.mwaka wa tano bila kupanda cheo!!!
Ya zege au ya mbaoMadaraja